Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.
Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.
Leo lumumba mmepewa buku kumi nasikia.
Please, rudisha simu za watu.umejuaje shost kama id nyingine ya mleta hoja.kweli we msaga sumu
Embu tuambie, ilikuwa ni njaa au tamaa tu, mpaka ukakwa.... simu ya mtu.i.d. yako changanya na ya mbwa koko
Umefanya wapi utafiti.JF ni sehemu ya Great thinkers.Hapa sio Facebook.Kwa bahati mbaya na wewe unaweza kujiita msomi?Funny indeed!
umejuaje shost kama id nyingine ya mleta hoja.kweli we msaga sumu
Huna sababu ya kuanzisha thread kwa ID nyingine na kuchangia kwa ID nyingine kujipa sapoti.
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.
Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.
umejuaje shost kama id nyingine ya mleta hoja.kweli we msaga sumu
Mzee anakula "king". Fafanua.Kiongozi!
Wewe na Juliana mliamkia kwa Mwigulu nini?
Huu uzi uwe ni alert kwa cdm kuongeza kasi ya siasa vyuoni.
This comes direct from LUMUMBA PROJECT.
asemayo ni kweliUmefanya wapi utafiti.JF ni sehemu ya Great thinkers.Hapa sio Facebook.Kwa bahati mbaya na wewe unaweza kujiita msomi?Funny indeed!