Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi kubwa vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi wameanza kukimbilia CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana. Hata hivyo ktk zoez la uchaguz wa serikali za wanafunz CCM Imeshinda kwa 90%.
 
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.

ulilala wapi jana?
 
haya bwana naona unaleta usanii ndani ya kaole au unataka watu wachangie uzi wako.
 
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.

Kiongozi!

Wewe na Juliana mliamkia kwa Mwigulu nini?
 
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.

pumba tupu
 
which politics are you refering?...or its just riping?...you are not objective..
 
Ni kweli mana hapa chuoni kwetu tawi lao limefungwa
 
Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi weanza kukimbilia ccm CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana.

Umefanya wapi utafiti.JF ni sehemu ya Great thinkers.Hapa sio Facebook.Kwa bahati mbaya na wewe unaweza kujiita msomi?Funny indeed!
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako, usiwe mvivu wa kufikiri.
 
labda vyuo vya lumumba ndio umeamka usingizini nini? kajimwagie maji ya baridi kwanza ndio uje upost mada yako tena upyaaaaaaaaaaaaaaaaa labda wana JF wanaweza kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…