ila kitendo cha wew kucomment ishajulikana kura yako iko wap hahahahahaHahahaaa!... Mm nme vote ndio maana nmekuja Ku reply.....hahahhaaa
Ahh wapi! Jiji limekucha sana hili! Dodoma naiombea iwe government city nzuri! Mimi na mpenzi wangu MAMA TANZANIA, naiombea yote kwa kweli!eeeh beautyful city aiwez kuwa dar es salam Dodoma ndio beautful ndio mana serikal ya hamia uko
Inabidi tumuache maana ndio ameamuaMie nmeshindwa kumuelewa .
Sasa unaendeleaje na wakati Huo utakuwa ushalambwa ban?? Uzi utabaki yatima huu
Tufanye iwe hivyo mana hapo nilivyo ccm vs chadema ndio ilikuwa end of thinking capacity yangSasa msimamizi wa uchaguzi, si ungeweka CCM vs UKAWA sasa mie wa PPT maendeleo na NCCR nita vote wapi? Au una maana CHADEMA ndio imetumeza vyama vyote vya upinzani?
Sawa safari nyingine unikumbuke na mie wa TLP bwana!!! hahahahTufanye iwe hivyo mana hapo nilivyo ccm vs chadema ndio ilikuwa end of thinking capacity yang
lakin ukawa wanasapoti sana chama cha ................ kwahiyo bado kura yako muhimu mkuuSawa safari nyingine unikumbuke na mie wa TLP bwana!!! hahahah
ukipigwa ban mim simo atutak kampeni siku ya uchaguzi Hahahaha msimamiz niko makinCCM OYEEE
Hahahahaukipigwa ban mim simo atutak kampeni siku ya uchaguzi Hahahaha msimamiz niko makin
Hahahaa....sawa aiseeila kitendo cha wew kucomment ishajulikana kura yako iko wap hahahahaha
kivipi njia ya panda umeniachaMola mkuu sana
We piga kura acha vicngizioUnabidi kura moja ya chadema iwe na double value ya kura moja ya ccm kwa kuwa CHADEMA wamezuiliwa kukutana, wamekatazwa kujenga wala kuimarisha chama, na wamekatazwa hata kuongea na wananchi mambo ambyo ccm wanafany usiku na mchana.
Ni sawa na kulinganisha mtu aliye na kila hitaji na anafanya mazoezi vile atakvyo katika kukimbia mbio, halafu umweke uwanjani pamoja na mtu aliyedhoofishwa kwa kunyimwa chakula, kufungwa miguu na mikono, na kufungiwa kwenye gunia. Hao watu wawili unaweka kwenye uwanja wakimbie ili uwalinganishe.
ADUI WA TANZANIA SIYO UJINGA, UMASKINI WALA MARADHI NA UFISADI. HAYO NI MATAWI SIMAMIZI YA IDARA NYETI ZA CCM. KWA HIYO ADUI YETU MKUBWA ANAYESTAHILI KUPIGWA VITA KWA NGUVU, UWEZO N AUMOJA WETU SOTE NI CCM~
BILA SHAKA TUNAONA CCM INACHOTUTAFUTIA. KUPITISHA MIKATABA YA KISEHNZSEI BUNGENI ILI KUWAKOMOA WAPINZANI, SASA KUMETUFIKISHA KATIKA JEHANAMU HII!
CCH UFEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
nyinyi siukawaSisi CHAUMMA mbona umetutenga?