Unabidi kura moja ya chadema iwe na double value ya kura moja ya ccm kwa kuwa CHADEMA wamezuiliwa kukutana, wamekatazwa kujenga wala kuimarisha chama, na wamekatazwa hata kuongea na wananchi mambo ambyo ccm wanafany usiku na mchana.
Ni sawa na kulinganisha mtu aliye na kila hitaji na anafanya mazoezi vile atakvyo katika kukimbia mbio, halafu umweke uwanjani pamoja na mtu aliyedhoofishwa kwa kunyimwa chakula, kufungwa miguu na mikono, na kufungiwa kwenye gunia. Hao watu wawili unaweka kwenye uwanja wakimbie ili uwalinganishe.
ADUI WA TANZANIA SIYO UJINGA, UMASKINI WALA MARADHI NA UFISADI. HAYO NI MATAWI SIMAMIZI YA IDARA NYETI ZA CCM. KWA HIYO ADUI YETU MKUBWA ANAYESTAHILI KUPIGWA VITA KWA NGUVU, UWEZO N AUMOJA WETU SOTE NI CCM~
BILA SHAKA TUNAONA CCM INACHOTUTAFUTIA. KUPITISHA MIKATABA YA KISEHNZSEI BUNGENI ILI KUWAKOMOA WAPINZANI, SASA KUMETUFIKISHA KATIKA JEHANAMU HII!
CCH UFEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!