CHADEMA vs CCM piga kura

CHADEMA vs CCM piga kura

Ccm VS Chadema

  • Total voters
    19
Hii ishakuwa shida asilimia 50 kwa 50 hofu mshindi tutamkosa jaman naona vote haziongezek
 
Ant-CCM i mean CHADEMA......
2020, Mwenyezi Mungu aende kuangamiza husda na hila za uibaji wa kura kila chama kisimame kwa ushindj halali.Tume ya Uchaguzi ikatende haki.Mwenyezi Mungu akapindishe midomo ya wanaopindisha matokeo wakati wa kutangaza kura, nadhan hakuna haja ya MaIT kuja kutall result tena, zifungwe novena watu wasali usiku kucha, Mwenyezi Mungu sio mnafiki watakaotaka kushinda bila haki waumbuke wakatupwe jehanamu ya duniani.....
 
amen
 
7more days result can not be equal tuendeleen ambao hamkupiga kura.
 
Back
Top Bottom