CHADEMA: Viongozi wa matawi watofautiana na Mwenyekiti

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,182
Baada ya tangazo la jana, lililotolewa na Mwenyekiti wa chama taifa viongozi walifanya tathimini. Baada ya mijadala mbalimbali katika vijiwe na mikusanyiko mingine wakaafiki kushiriki uchaguzi.

Baadhi ya viongozi wa matawi ya CHADEMA Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wamekubaliana kushiriki uchaguzi huo.

Wao wanaamini kuwa sababu zilizotolewa wao hawajakumbana nazo hivyo hawaoni sababu ya kutoshiriki.

Matawi hayo ni yale ambayo wagombea wao walipitishwa na hakuna figisu zozote zilizojitokeza. Baadhi ya viongozi wamesema walijiandaa kwa muda mrefu na hawaoni sababu ya kususia na wana uhakika watashinda.
 
Swali je? Chadema watasusia na ubunge kugombea na uraisi....
We njaa mbaya ...wakisusia naama nji
 
Swali je? Chadema watasusia na ubunge kugombea na uraisi....
We njaa mbaya ...wakisusia naama nji
Wewe ni mtoto wa mama/kula kulala,hujui hata wazazi wako wanavyohangaika kuwa tafutia mlo wa siku,kuwa uyaone.
 
Hivi kwa nini CCM pamoja na kujihakikishia ushindi wa kishindo, mbona wanahangaika sana "kujustify" ujambazi wa mchana walioufanya???
 
Back
Top Bottom