Jamaa wana madudu mengi sana wayaficha kwenye kapeti,
tunasubiri maji ya kunawa na mboga mkuu.umeshamwaga?
Jamaa wana madudu mengi sana wayaficha kwenye kapeti,
jinsi chadema isivyoamini usalama wa taifa ni bayana kuwa chadema washajua kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola. Huwezi kutaka kuongoza dola wakati huamini vyombo vya usalama.
Hii ni sawa na mtu ambaye anasema madaktari wanataka kumuua halafu anaenda hospitali kwao kufanyiwa operation!!!
Hivyo ndivyo walivyopanga , lakini kila njama itabainika ! na baada ya siku chache wapanga njama wote watatajana ! Cdm ni kiboko !
Mkuu ZeMarcopolo kwani CIA imewauwa Wamarekani tena wazi wazi??????? CIA inachochea uongo na kutunga kesi eti kumaliza chama cha upinzani, kwani wapinzani sio walipa kodi wanayolipwa mishahara hao wauwaji na watesaji????Rais George H. Bush wa marekani alikuwa Director wa CIA lakini kugombea kwake Urais hakujawafanya wamarekani wazalendo kupteza imani na CIA na wala hakujakifanya chama cha Democrats kutoa kauli za kuidhalilisha CIA na kuichonganisha na wananchi.
Swala ni uzalendo. Wanasiasa wetu wanapaswa kuchagua vitu vya kuvifanyia siasa na vitu sensitive vya kuvihandle with extra care.
Mkuu kwa kiwango fulani nakubaliana na wewe lakini tukirudi nyuma katiba haiwapi uhuru wa kufanya kazi kwa maslahi ya taifa bali wanalinda serikali iliyoko madarakani!!! Wanapewa amri na Raisi hata kama ni mbovu za wizi na kudhulumu, nadhani si wote wanakubaliana bali wanalinda kitumbua chao kwa muda huu!!! Katiba mpya iweke nafasi na uwazi wa kazi za usalama wa taifa wawe na uhuru wa kufanya kazi za kitaifa sio kulinda chama tawala!!!Utawala wa sheria marekani umetamalaki hakuna mahara CIA wanaweza kukingia maovu ya mwanasiasa yeyote, hakuna mahara wameachia mali na rasilimli za nchi zikateketezwa na vikundi vya wajanja kinyume chake wamezuia uovu ,ubaradhuri wa baadhi ya mabenk na wafanya biashara waliokiuka sheria,hata watu waliotaka kulitia aibu taifa lao,wanajua wajibu wao kama CIA,juzi tu mkuu wa CIA aliyepata kuongoza vita Afghanistan walimgundua kuwa alikuwa na mahusiana ya nje ya ndoa yake akasitishwa kazi kwa kujiuzulu , mfano gani wa hawa usalama wataifa utausema wakati wameachia nchi inaingia mikataba mibovu,ardhi inaporwa,wanyama wanaibwa,viongozi wanajilimkizia mali,udini unatamalaki, tunu za taifa zinavurugwa ndio maana idadi kubwa ya watanzania wameondoa heshima kwao kwa kiwango kikubwa sana
Jinsi chadema isivyoamini usalama wa taifa ni bayana kuwa chadema washajua kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola. Huwezi kutaka kuongoza dola wakati huamini vyombo vya usalama.
Hii ni sawa na mtu ambaye anasema madaktari wanataka kumuua halafu anaenda hospitali kwao kufanyiwa operation!!!
Jimmy carter wa marekani alipochukua madaraka miaka ya 1970,alimtoa george bush aliekua director wa CIA,pia akawafuta kazi maajenti wa CIA kama 800.kilichotokea hao akina bush and COMPANY,walihakisha jimmy carter anakua one term presdent kwa hujuma walizomfanyia.
Je wewe huijui?Unajua role ya Usalama wa Taifa katika transition of Power?
Umekurupuka tena usingizi wewe ni wa juzi huwezi kujua mambo ya zamani fanya utafiti kwanza!!! Waingozi alikuwa mtuumaarufu saana kwenye usalama wa taifa, Gen Kombe alikuwa mkuu wa kitengo cha usalama wa taifa kabla ya kustaafu!! UWT ni kiswahili, maana yake ni Usalama wa Taifa!!!hao unaosema walikufa kwenye mazingira tete wewe na wenzako mtakuwa mmeshiriki kuwaua halafu umeongea habari ya walingozi ukadai amewahi kuwa kiongozi wa uwt hii mbona ni umoja wa wanawake tanzania na huyu ni mwanaume wapi na wapi.
Chadema hii kesi ya Rwakatare lazima iwafute kwenye siasa.
Ok upinzani ukifa then what next? Turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja? Democracy turned upside down!
Ndiyo hivyo TISS mnayoitegemea imeshagawanyika, mtaaibika. Hoja zimewashinda sasa hivi mnapika majungu -- watanzania tupo makini. hizi siyo enzi na Tanu na ASP my friend.unakula matapishi ya baba yako dr slaa