CHADEMA: uongozi uko wapi hapa?

CHADEMA: uongozi uko wapi hapa?

Nafikiri chama bado kinatakiwa na kinataka kutumia muda kufanya maamuzi magumu na kujibu bila kubabaisha,so tusubiri kutoka makao makuu.
 
Hata kukaa kimya ni jibu tena kwa wa pu mbavu, ndio mana uongozi wa CDM hautakiwi kuwajibu wakina Shoza, mushawafukuza muwajibu wanini wafa maji hao, ushauri kwa viongozi kaa kimya huku nje wanachama wanajua a to z.
 
Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...

Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?

Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?

hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?

Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?

Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Taifa?

Wewe unataka Viongozi wafanyeje? waanze kujibu Porojo? kwaniu wakina shonza ni wanachama wa CHADEMA? kwa hiyo mwana nchi yoyote akianza kutoa shutuma zidi ya mfano CCM inabidi mweyekiti wa Chama azizungumzie? Kuna mgogoro gani BAVICHA wakati hao waleta mgogoro walisha Fukuzwa? hapo hata Heche hana cha kujibu make atakuwa najibizana na watu wasio kuwa wanachama

NA MWISHO NA NYIE MUACHE KULETA KILA UPUUZI HUMU KISA TU USIFIWE KWA KUANZISHA THREAD, MAKE KINACHO ONEKANA HUMU KWA SASA NI WATU KUTAFUTA SIFA ZA ET WAMEANZISHA THREAD,

Mkuu Nenda Mitaani huko kama utakuta watu wanazungumzia Ujinga kama huu, hmu Janvini ndo watu wanakesha kujadili Porojo na mtaani wala hakuna anaye zungumzia BAVICHA wala hao Masalia, na hao masalia Nguvu zao zimebakia humu JF pekeee na si kwingineko

 
The Boss kwa kweli kuna haja ya uongozi wa juu wa Chadema kuzungumzia hali ilivyo katika baraza la vijana la chama hicho.

Sisi washabiki wa Chadema tunajikuta tukijiuliza maswali mengi bila majibu
kweli magamba ni wafa maji wanashika kila jani linalopita mbele yao,walianza kwa slaa,wakaja kwa mboe wakajaribu kwa zito sasa wako kwa bavicha, nilisha sema mwisho wake wataishia kwenye kuiba kura,lakini tunachowaambia mwisho wao ni 2015
 
Na wewe soma no 5
uone kama mgogoro huu na mingine haina madhara kwa chama..

haina madhara kwa chama na ukiisoma kwa makini ndicho klichofanyika kukabiliana na hawa ''ndorobo'' na ile ya 15 ndo imepiga msumari na jeneza likatumbukizwa....hawa masalia wanaonekana desparate sana na kutumia nguvu kibao...baada ya hili tamko la leo hutamsikia tena huyo binti ..ndo kwa heri yake hiyo....

viongozi wangekaa kimya wakati yale madai yanatoka na mengine mengi kuwekwa hapa mtandaoni thread yako ingekuwa na mantiki...chama kimeshughulikia tuhuma na hukumu imetoka ..sasa ni kusonga mbele tu....haya manegine ni mambo ya kutapatapa....wakafie mbali
 
Hata kukaa kimya ni jibu tena kwa wa pu mbavu, ndio mana uongozi wa CDM hautakiwi kuwajibu wakina Shoza, mushawafukuza muwajibu wanini wafa maji hao, ushauri kwa viongozi kaa kimya huku nje wanachama wanajua a to z.

Mkuu kuna watu humu Starehe zao waone Viongozi wanajibishana na watu ambao kwanza si wanachama tena, na Mimi nasifu watu wa Mitaani, huko kitaa hakuna anaye zungumzia huu Ujinga, Hili jukwaa kwa sasa limegeuka kuwa kama vilivyo vijiwe vya kahawa halina tofauti na vijiwe vya kahawa make, na limegeuka kuwa sehemu ya watu kutafuta sifa za Kupost thread zisizo kuwa na Kichwa wala miguu
 
Nafikiri chama bado kinatakiwa na kinataka kutumia muda kufanya maamuzi magumu na kujibu bila kubabaisha,so tusubiri kutoka makao makuu.

Maamuzi magumu yapi? Kinacho fanyika humu Janvini ni Porojo zaidi na Udaku, na kila mtu anaona ni sehemu ya Kutafuta sifa za kupost kila anacho waza tumboni mwake
 
Unaweza usimbembeleze lakini uki overreact heshima yako itashuka mno
unaweza mkanya na kumdharau kwa muda...sio ku panic na ku overreact...
usisahau in politics 'uhuru wa kuongea na kukosoana' ni very essential kwa ukuaji wa demokrasia..
hakuna ku 'worship watu'...watu wote ni 'fair game' kwa kukosolewa

Boss hawa watu wameshakanywa sana hawasikii, it is true kwamba uhuru wa kuongea na kukosoa ni muhimu kwa chama lakini it depends unaongea / unamkosoa nani na wapi lakini pia kuna namna ya kumkosoa mtu au watu kwa hoja, kilichowakera wengi nikiwemo mimi ni matumizi ya lugha chafu na matusi. Jaribu kuzireview post za hao akina Shoza zilivyojaa dharau na kebehi na matusi. Tatizo letu sisi vijana tukijulikana kidogo tu tunalewa sifa. Watu kama hawa ukiwabembeleza wao wanahesabu ni ushindi kwao wanaendelea na uharibifu.

Wanasahau kuwa uwepo wao ndani ya chama ndio uliokuwa ukiwapa hadhi na umaarufu, ona sasa pamoja na kutukana chama na viongozi wake baada ya kufukuzwa hao ao wanaibuka na kung'ang'ania kuwa wao bado wanachama wa CDM wanataka nini sasa wakati washasema kuwa chama hakifai? kwanini wasikae kimya watumie umaarufu wao kwenda kwenye vyama vingine?
 
Dah kwa swali hili, subiri matusi tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

naowakumbuka waliovuliwa unachama ni 1) Chagulani 2) Matata 3)Charles 4) Mwampamba
 
hivi hapa ni MMU? Ama nimepotea?

Kuiponda CDM jf ni sawa na kushika sharubu za simba.

Ngoja wenyewe waje

mara huko Bavicha kuna wasaliti waliokoka, mara masalia, mara nini. Mradi tu maruweruwe

ukitaka wakupende sifia bavicha wamefanya maamuzi mazuri lakini ukisema wanamatatizo wachaga povu litawatoka kama watu wa kifafa
 
"THERE ARE THINGS IN LIFE THAT ARE DIFFICULT TO EXPLAIN..." The Boss


 
Last edited by a moderator:
Dah kwa swali hili, subiri matusi tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

naowakumbuka waliovuliwa unachama ambao wote hawana asili ya kilimanjaro ni 1) Chagulani 2) Matata 3)Charles 4) Mwampamba kama kuna wengine naomba muwaorodheshe
 
naowakumbuka waliovuliwa unachama ambao wote hawana asili ya kilimanjaro ni 1) Chagulani 2) Matata 3)Charles 4) Mwampamba kama kuna wengine naomba muwaorodheshe

Wewe na wale viumbe wanao kuwa kwenye msafara wa Mamba ni kitu kimoja, yaani kwa kifupi wewe ni wale kiumbe kwenye msafara wa Mamba
 
Yongozi wa CHADEMA Taifa hauwezi kulumbana na vibaka njaa kama hawa wanachama masalia wa CHAUUMA.
 
Hata kukaa kimya ni jibu tena kwa wa pu mbavu, ndio mana uongozi wa CDM hautakiwi kuwajibu wakina Shoza, mushawafukuza muwajibu wanini wafa maji hao, ushauri kwa viongozi kaa kimya huku nje wanachama wanajua a to z.

.....ndo ushauri huu...!!
 
Mkuu The Boss sidhani kama una hoja ya msingi hapa zaidi ya kujaribu kuonekana kwamba na wewe umo.
Kuna mwandishi mmoja nilisoma makala yake gazetini last week anasema walewale mnaosema mmeichoka ccm ndio hao hao mnageuka na kuimba Chadema haujakomaa kupewa nchi. Ninyi ni watu wa ajabu sana katika hii nchi na mnachangia sana nchi kudumaa.
Ni dhahiri kwamba Chadema haiyumbi pamoja na juhudi zote za ccm kuhakikisha haifiki 2014.
Wasaliti walipokuwa wakimwaga mipasho hapa mlikuja mbio mbio kutaka tamko la chama. Baada ya Bavicha kuwashughulikia kisawasawa mmegeuka tena kama popo mmekuwa ndege si wanyama tena.
Sasa unataka viongozi wa Taifa waongee ama kufanya nini kama Bavicha imeshakata mzizi wa fitna? Shonza na kundi lake tutamalizana nao hapa hapa JF, hawana hoja za kuhitaji kauli ya Mwenyekiti au Katibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa kiongozi inabidi utumie busara zaidi kuliko kukurupuka chadema ina watu makini wanaofata taratibu na kanuni walizojiekea,ikiwa kila neno likisemwa humu jf kesho yake viongozi walitolee tamko huo utakuwa ni utoto wa kisiasa,give them a time utaona hatua watakayoichukua.Na sasa umeona walichokifanya?Huo ndio ukomavu wa kisiasa.Viva Chadema mapambano yanaendelea...!
 
Mkuu kwani huu mgogoro wa BAVICHA una muda gani?

Hivi mpaka leo wanasubiri kujua hisia za kila mtu!

mkuu hata kukaa kimya nalo ni jibu kuwa wanajua kinachoendelea wanatafuta majibu ya maswala mengine yatakayojibu na hayo
 
Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...

Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?

Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?

hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?

'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?

Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA Taifa?

kama we mwenyewe unajua kabisa its a small cris what u lament for?.Istoshe anayetoa lawama c member wa BAVICHA.
 
The Boss kwa kweli kuna haja ya uongozi wa juu wa Chadema kuzungumzia hali ilivyo katika baraza la vijana la chama hicho.

Sisi washabiki wa Chadema tunajikuta tukijiuliza maswali mengi bila majibu

Mkuu Mtambuzi usikubali kupanda hii mashua ya The Boss kirahisi rahisi.
Chadema hakuna mgogoro wowote zaidi hap nyuma kuwepo kikundi cha usaliti kikijiita PM7 na watu wake wameshafukuzwa uanachama.
Wakati tunaendelea na porojo hapa JF, Katibu mkuu Dr.W.Slaa yuko huko kwenu milimani Same aajenga chama akiwa ameambatana mwenyekiti wa bavicha John Heche pamoja na viongozi wengine kadhaa.
Itakuwa ni upuuzi kuacha kufanya mambo ya msingi na kuj kujibu upuuzi wa shona.
Wanachama tuliopo hapa JF hilo liko chini ya uwezo wetu na kwa hakika tumeshaliweka sawa.

Mkuu usisahau kuwa huu ni muendelezo tu operation chaos ndani ya Chadema. Mpango huo umeanzishwa na unafadhiliwa na ccm.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom