Nimekusoma The Boss. Wakati umefika uongozi ndani ya chama wapewe Chapter ya compromise. You can not lead successfully kwa kutaka point of view ya upande mmoja kushamiri kila mahali, kila wakati! Tunayo mengi ya kusoma kutoka CCM na vyama vingine ambavyo vimekuwapo kwa munda mrefu vikiingoza bara letu la Afrika. They have made mistakes--some of them grave; lakini ukiangaliza kwa makini unakutana na dhahabu za kiuongozi ndani ya hilo tope la makosa. Kuondoa dhana ya ukanda kuna wakati Nyerere aliweka vilaza katika leadership za chama kama hatua ya compromise kuondoa dhana ya ukanda. Abdalla Natepe alikua na degree ngapi kupewa nafasi Nyeti alizopewa? Tusiende Mbali: Ali Hassan Mwinyi ana PHD ngapi? Hawa watu walipewa nafasi walizopewa kuleta power balance katika taifa. Kama kuna mtu katika uongozi wa Chadema anasoma post hii, ninachotaka kukuambieni ni hiki: weka balance katika chama na ionekane! Lakini pakiwapo jitihada na kumanage concequences zake foreseable. Tunajua concequences za kumweka Mwinyi Ikulu zilikuwa zipi na zimeendelea kuwa zipi. Kubwa likiwa kushamiri kwa upumbavu wa udini. Naamini hili lilikuwa tatizo la forecast pale Intelligence na concequent management failure ya forecasted scenarios-- ambapo hili la udini lingeonekana mapema na udhibiti wake kufanywa. Lakini kimsingi, sidhani kama kuna mtu atapinga kuwa kwa kuwaweka kina Abdallah Natepe, na kina Ali Hassan Mwinyi Ikulu tulijenga power balance katika taifa na Zanzibar wakajihisi wanaongoza nchi yao. Pick that leaf.Compromise ,compromise.. naona hili neno halipo kabisa CHADEMA.....
Ni kama mke na mume wanapigana hadharani kila mtu akiiamini
watu wataona upumbavu wa mwenzie...mwisho wote wanaonekana wapumbavu..