CHADEMA: uongozi uko wapi hapa?

CHADEMA: uongozi uko wapi hapa?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...

Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?

Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?

hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?

Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?

Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Taifa?
 
The Boss kwa kweli kuna haja ya uongozi wa juu wa Chadema kuzungumzia hali ilivyo katika baraza la vijana la chama hicho.

Sisi washabiki wa Chadema tunajikuta tukijiuliza maswali mengi bila majibu
 
Last edited by a moderator:

Hali ikizidi kuchafuka vipi huyo alietoa tamko siyo mwanachama wa chadema sasa viongozi wa kitaifa hapa wanapaswa kufanya nini? juliana mbona anaweza kujibiwa na mwana chama yoyote ambae ni mwana chama wa chadema na julianakama wanachama wa chauma..
 
Mwanangu The Boss wala usihofu. Kama CCM inaweza kuendesha nchi tena kwa autopilot hata CDM wanaweza ingawa it is a calamity. Nionacho hapa Tanzania ni kwamba tunapata viongozi wanaofanana na watanzania. Sipendi kutoa hitimisho la jumla ila nchi yetu inahitaji kubadilika vinginevyo kila kibaka atakuja na kutuibia kuanzia babu wa Loliondo, wachungaji na mashehe uchwara hadi wanasiasa uchwara. Waingereza husema; show me your friends I will tell you who you are. CDM ikubali ina crisis tena ya kujitakia. Kwanini kuruhusu nguo chafu kufuliwa hadharani badala ya kuzifua mapema? Mwanangu hapa una hoja.
 
Naona umeshindwa kuelewa point ya The Boss

Mambo haya unayoyaona madogo huijui impact yake kwa watu wa chini kabisa wasio na uelewa na mambo ya siasa za maji taka na ambao wengi ni wapiga kura.

pale ambapo uongozi wa juu utakapotoa ufafanuzi kutaleta ahueni na kuwafanya washabiki wa Chadema wapumuwe.

Kumbuka kwamba haya yanayoonekana ni madogo yakitumiwa na maadui wa nje na ndani ya Chadema yataleta athari kubwa huko tunapoelekea
 
The Boss kwa kweli kuna haja ya uongozi wa juu wa Chadema kuzungumzia hali ilivyo katika baraza la vijana la chama hicho.

Sisi washabiki wa Chadema tunajikuta tukijiuliza maswali mengi bila majibu

Maswali ni mengi na hawako busy kujibu
ni kama na wao ni watazamaji....na still wanataka kuongoza Taifa..seriously?
 
Mi nikajua niko kwenye jukwaa la mapenzi!!!! Kwa herini
 
hivi hapa ni MMU? Ama nimepotea?

Kuiponda CDM jf ni sawa na kushika sharubu za simba.

Ngoja wenyewe waje

mara huko Bavicha kuna wasaliti waliokoka, mara masalia, mara nini. Mradi tu maruweruwe
 
Naona umeshindwa kuelewa point ya The Boss

Mambo haya unayoyaona madogo huijui impact yake kwa watu wa chini kabisa wasio na uelewa na mambo ya siasa za maji taka na ambao wengi ni wapiga kura.

pale ambapo uongozi wa juu utakapotoa ufafanuzi kutaleta ahueni na kuwafanya washabiki wa Chadema wapumuwe.

Kumbuka kwamba haya yanayoonekana ni madogo yakitumiwa na maadui wa nje na ndani ya Chadema yataleta athari kubwa huko tunapoelekea

Ni kama mke na mume wanapigana hadharani kila mtu akiiamini
watu wataona upumbavu wa mwenzie...mwisho wote wanaonekana wapumbavu..
 
Kwa akili za kawaida lazima tukubali kuongoza nchi ni kazi ngumu pengine kuliko zoote
kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu....sasa kama watu au mtu ambao wanajaribu
kuishawishi jamii kuwa wako tayari kwa kazi ya kuongoza Taifa unategemea kwamba
watu hao watakuwa 'makini' kwa jambo lolote lile dogo au kubwa linaloweza
'tia shaka' mbele ya macho ya watu wengine 'uwezo na utayari' wao wa kuendesha Taifa...

Kinachotokea BAVICHA sasa na huku Uongozi wa Taifa wa CHADEMA ukihushwa moja kwa moja au kukaa kimya
huku hali ya hewa ikizidi kuchafuka.....unajiuliza swali moja tu hapa..
'where is the leadership now'?

Hivi seriously hawaoni kuwa hii vurugu ya BAVICHA inaleta picha gani?

hasa kwa watu waliokuwa wanahitaji kushawishiwa kuwa kuna 'watu wenye uwezo wa kuongoza from CHADEMA'?

Kama chama tu kinayumba yumba na hakuna 'clear leadership in time of crisis ndogo kama hii ya BAVICHA'
Mtaweza kweli kundesha Taifa lenye watu millioni 45 wenye vichwa na vurugu tofauti?

Naona kama kundesha Taifa la watu milioni 45 ni ngumu zaidi kuliko kuendesha chama cha watu less than
two millions....sasa kama chama ni hivi...mnashawishi vipi uwezo wa kundesha Taifa?

je una data kutusaidia kujadili, lkn pia lazima mjue uongozi wa watu sio kazi nyepesi na wakti mwingine unafundishwa ni bora ukae kimya kwa muda fulani ili ujue hisia za kila mtu kabla ya kujibu. ukijua hisia na tabia za kila mdau katika jambo unaweza kutoa majibu yanayowatosheleza wote. kama hujui hi ni moja ya mbinu thabiti ya uongozi. je si umeona nyinyiemu wanavyokurupuka na matamshi yao kubezwa na watu hata kufikai mahala kuwazomea????
 
The Boss twende siasani tukajadili vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu The Boss wala usihofu. Kama CCM inaweza kuendesha nchi tena kwa autopilot hata CDM wanaweza ingawa it is a calamity. Nionacho hapa Tanzania ni kwamba tunapata viongozi wanaofanana na watanzania. Sipendi kutoa hitimisho la jumla ila nchi yetu inahitaji kubadilika vinginevyo kila kibaka atakuja na kutuibia kuanzia babu wa Loliondo, wachungaji na mashehe uchwara hadi wanasiasa uchwara. Waingereza husema; show me your friends I will tell you who you are. CDM ikubali ina crisis tena ya kujitakia. Kwanini kuruhusu nguo chafu kufuliwa hadharani badala ya kuzifua mapema? Mwanangu hapa una hoja.

Umeona eh....!
Lakini wengi kutokana na ushabiki whawataiona point aliyoitoa The Boss, sana sana wanaweza kumcharuikia mtoa mada badala ya kujadili kilichowekwa mezani.

Iwapo hali ikiachwa hivi ni wazi kwamba mgogoro huu utawaathiri chadema.
 
Last edited by a moderator:
je una data kutusaidia kujadili, lkn pia lazima mjue uongozi wa watu sio kazi nyepesi na wakti mwingine unafundishwa ni bora ukae kimya kwa muda fulani ili ujue hisia za kila mtu kabla ya kujibu. ukijua hisia na tabia za kila mdau katika jambo unaweza kutoa majibu yanayowatosheleza wote. kama hujui hi ni moja ya mbinu thabiti ya uongozi. je si umeona nyinyiemu wanavyokurupuka na matamshi yao kubezwa na watu hata kufikai mahala kuwazomea????

Mkuu kwani huu mgogoro wa BAVICHA una muda gani?

Hivi mpaka leo wanasubiri kujua hisia za kila mtu!
 
House girl anapofukuzwa na mama mwenye nyumba kwa utovu wa nidhamu kutoa siri za ndani na kuzipeleka kwa majirani,
Halafu house girl huyo akiwa nje aendelee kuitukana familia yako pamoja na watoto wako, Je wewe kama baba utaonekana umeshindwa kuiongoza familia yako?

Bavicha wana mamlaka yao kikatiba. ila kama waliofukuzwa wanahisi wameonewa wanauwezo wa kukata rufaa ili wasikilizwe na kamati kuu, na si kuendelea kutoa matusi kuwatukana viongozi.
Hii inadhihirisha kutokuwa na adabu na nidhamu.
 
Kupishana kauli, kutofautiana na migongano ni moja ya sifa ndani vya vyama vya siasa.
Migogoro ipo hata kwenye taasisi za dini.Cha muhimu ni kuangalia how they can be handled effectively and efficiently.Uwezo huo naamini viongozi wa CDM wanao.NASHAURI pia CDM wachunguze na wawe makini na ushabikiaji wa hii migogoro inayopikwa na magamba.
 
sijaona kama kuna mgogoro mkubwa mpaka ifikie hatua ya ku-judge kuwa CHADEMA watashindwa kuongoza nchi! kwanza wale wote waliokuwa wanaleta sintofahamu BAVICHA tayari walishaondolewa, hawa akina Juliana wanaokuja hapa na hoja za kimipasho sio viongozi wa BAVICHA tena,,,kifupi CHADEMA hapa imeonyeshs ukomavu wa hali ya juu!
 
Bi Shonza amesema Dr Slaa anakula shs milioni saba kwa mwezi za ruzuku.
CDM haina kiota chake, inategemea tu kupanga nyumba ya mfadhili wake
Dr Slaa inasemekana kajikopesha mamilioni yasiyo na maelezo

Usichokielwa hapo nini?
 
Zitto akinyimwa kugombea Urais na akanunuliwa na mafisadi ndo utakuwa ushindi kwa CCM kwasababu kwa nguvu za mafisadi, Zitto atawaaminisha wananchi kwamba CDM kinaendeshwa kikanda na kidini.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom