CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

Taratibu kitaeleweka tu. Tupo pamoja, mapambano yanaendelea.
Ova
 
Mkutano wa kesho ni wa Chadema na tayari umeanza kutangazwa, ila member wa UKAWA wataalikwa kwa ajili ya kuendeleza mashirikiano ambayo tayari yamekwisha kuanza. Watu wa CCM lazima muelewe kuwa uwepo wa UKAWA haujafuta uwepo wa vyama vya CUF,NCCR na CHADEMA wala shughuli zao za kujiimarisha kama vyama vya siasa, kimsingi UKAWA unahimiza kila chama kuendelea kuimarisha ngome zake ili kwa pamoja tuwe na nguvu ya kukabiliana na mafisadi CCM ifikapo uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

> Mkuu hii umeiweka sawa ubarikiwe sana CCM muwe mnaelewa sawa na muwe na adabu kwa mashamba ya watu.
 
Mkuu, Mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na BBC hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.

Itakuwa ni hang over na uchovu kwa kweli, si unajua mtu akitoka na bi mdogo anavyotumika..... Ni shiiida.
 
Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA & UKAWA watakuwa kwa medani za jiji la Mwanza kesho kati ya hawa watakuwepo MBOWE, PROF SAFARI, LISU na MNYIKA medani ni kati ya FURAHISHA & MIRONGO PRIMARY. "UKAWA TUMAINI LETU"

Hiyo kauli mbiu ya kanisa ya kusema "KRISTO, TUMAINI LETU" ambao mmeiita "UKAWA TUMAINI LETU" ndio inatutisha sisi tusio na imani hiyo.
 
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama

Amerudi mkuu. Alitaka kwenda Canada na mama yako tatizo mama yako sio mrembo. Mbayaaaaa!
 
Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix

Naona povu linakutoka kwakua mlishindwa kumnunua kama wewe ulivyokatiwa dau mithili ya Meeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom