CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix
 
Mkutano wa kesho ni wa Chadema na tayari umeanza kutangazwa, ila member wa UKAWA wataalikwa kwa ajili ya kuendeleza mashirikiano ambayo tayari yamekwisha kuanza. Watu wa CCM lazima muelewe kuwa uwepo wa UKAWA haujafuta uwepo wa vyama vya CUF,NCCR na CHADEMA wala shughuli zao za kujiimarisha kama vyama vya siasa, kimsingi UKAWA unahimiza kila chama kuendelea kuimarisha ngome zake ili kwa pamoja tuwe na nguvu ya kukabiliana na mafisadi CCM ifikapo uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
kila heri makamanda MUNGU awatangulie
 
Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix

nimeipenda hii
 
Mkuu Lizaboni , Hivi ile Press conference yao ya jana iliishia wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix

Nadhani Mbowe ndiye anatumia nyota ya Lipumba.
 
Ilianza UKAWA sasa ni CHADEMA+UKAWA??????
Hahaha unafiki huu ni hatari. Mwaka huu tutaona kila rangi zenu za unafiki. Nasikia mmemsajiri na Warioba?

kamuulize m/kiti wako zezeta
 
Ktk msafara wa Mamba na Kenge vipofu wanajiunga na wanajitia kimbelembele, wewe Gamba na UKAWA wapi na wapi, hata wakitaja Chama kimoja kilicho ktk UKAWA inaihusu wapi ccm kujinyea nyea kila UKAWA inapotajwa?

Mamba ni nan na kenge ni nani ndan ya ukawa mkuu?
 
Mkutano wa kesho ni wa Chadema na tayari umeanza kutangazwa, ila member wa UKAWA wataalikwa kwa ajili ya kuendeleza mashirikiano ambayo tayari yamekwisha kuanza. Watu wa CCM lazima muelewe kuwa uwepo wa UKAWA haujafuta uwepo wa vyama vya CUF,NCCR na CHADEMA wala shughuli zao za kujiimarisha kama vyama vya siasa, kimsingi UKAWA unahimiza kila chama kuendelea kuimarisha ngome zake ili kwa pamoja tuwe na nguvu ya kukabiliana na mafisadi CCM ifikapo uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Mbona hueleweki...ishu ya katiba imewakaba koo sasa taratibu mnajichomoa kwenye ukawa...
 
Mkutano wa kesho ni wa Chadema na tayari umeanza kutangazwa, ila member wa UKAWA wataalikwa kwa ajili ya kuendeleza mashirikiano ambayo tayari yamekwisha kuanza. Watu wa CCM lazima muelewe kuwa uwepo wa UKAWA haujafuta uwepo wa vyama vya CUF,NCCR na CHADEMA wala shughuli zao za kujiimarisha kama vyama vya siasa, kimsingi UKAWA unahimiza kila chama kuendelea kuimarisha ngome zake ili kwa pamoja tuwe na nguvu ya kukabiliana na mafisadi CCM ifikapo uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

safi sana kamanda halafu namba yako haipatikanagi kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom