Mkuu, hii ni "deal" imeishapangwa na Mbowe, Lowassa ndiyo mgombea urais wa Chadema hamna watu wa kumkata hayo ni makubaliaano kinachofanyika sasa hivi ni utelekezaji tu.Wanajukwaa uchaguzi wa mwaka huu una changamoto kubwa kwa chama tawala na wapinzani.
Tumeambiwa kuwa leo lowassa anachukuwa fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya makao makuu ya chadema ufipa DSM, swali, je anachukua fomu kupambanishwa na nani? kama kuna kushindanishwa kwa mchujo je atakuwa tayari kukubali matokeo endapo yatakuwa tofauti na ilivyotegemewa? na kama inajulikana wazi kuwa yupo upinzani ili kupeperusha bendera ya urais kupitia ukawa kwanini achukue fomu?
Hippocratesocrates
Tunaposema investment yenye risk tunamaanisha baadhi ya uliyosema.
Uwekezaji wa wapinzani umechukua muda mrefu
Je, kulikuwa na tathmini ya kutosha ya mwekezaji vs time and resources zilizotumika?
Kulifanyika risk assessment ya kutosha?
Mkandara,
..lakini wewe ulishapata kusema kwamba ukawa watashindwa ikiwa watamsimamisha Dr.Slaa. sababu ulizotoa ni kwamba cuf hawawezi kumpigia kura Dr.Slaa.
..mimi nashangaa leo umebadilika na kuwa mtetezi mkubwa wa Dr.Slaa.
hakuna kiapo cha kulinda siri za UFISADI na kibaya zaidi huyu ndiye Fisadi haswa akiitwa PAPA la baharini ama tumuulize Dr. Slaa alikuwa na maana gani kuliweka jina lake katika list of Shame! Na kama mnaweza kumsafisha Lowassa basi bila shaka hata JK msafi na CCM wasafi kwani sio nyie mlokuwa mkilia na Nape CCM wajivue magamba? hao magamba kina nani? Leo feza ya Rostam ndio imekuwa mkombozi wa kuinunua IKULU! - Ati Regime change? jamani kumbukeni maneno ya mwalimu bado yapo sana kichwani mwa wananchi haswa mwaka huu hotuba zake zimetembea sana mitandaoni na karibu zote zilimgusa mtu kama Lowassa na kundi lake.Mkandara #12 Kwamba kuna ushahidi na anacheza na upanga, sidhani kama upo ushahidi wa kutosha
Hata hivyo, alipokuwa waziri mkuu alikula kiapo cha nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na kutunza siri za serikali.
Hofu, akiendelea kuongea bila wanasheria kumshauri, hoja ndogo kama hii inaweza kutumika katika 'tech knock out' hapo ndipo tunaposema uwekezaji huu ni risk na usiotabirik
Nilisema hivyo kweli lakini kushindwa kuna kipimo maana hapakuwa na uwezekano wowote wa UKAWA kushinda uchaguzi huu baada ya kuvurunda toka mwanzo kutoungana. nadhani nilieleza kwa kirefu huko nyuma kwa nini UKAWA hawawezi mkushinda uchaguzi huu..Ila kuna unafuu wa kupata japo wabunge wengi..Mkandara,
..lakini wewe ulishapata kusema kwamba ukawa watashindwa ikiwa watamsimamisha Dr.Slaa. sababu ulizotoa ni kwamba cuf hawawezi kumpigia kura Dr.Slaa.
..mimi nashangaa leo umebadilika na kuwa mtetezi mkubwa wa Dr.Slaa.
Jokakuu;
Ngoja nikuulize. Je unaunga mkono hatua za CDM kama strategic move au in a long term we can bet that Lowassa is a game changer?
Mkuu , kwavile umekuja ukiwa na prejudice, umekosa pointmuhimu sana.Nguruvi3,hakuna kiapo cha kulinda siri za UFISADI na kibaya zaidi huyu ndiye Fisadi haswa akiitwa PAPA la baharini
..
Mkuu siasa za Tanzania ni fluid sana. Analysis inawezakutoa majibu tofauti na hali halisi on the ground...nawaunga mkono chadema.
..ila sina uhakika kama Lowassa ataweza kuleta ushindi kwa nafasi ya uraisi.
..wanadai uamuzi huu wameufanya based on research iliyofanywa na wataalamu wa mambo ya uchaguzi including pollsters.
..kwa kweli inabidi cdm/ukawa wapige hatua kubwa zaidi kuliko hapa walipo.
Nb:
..pollsters wakishaingia ktk chama hupelekea kufanyika kwa maamuzi ambayo yanaweza yasiwafurahishe baadhi ya wanachama, especially wale wakereketwa.
AlindaWanaduru ninatoka nje ya mada kidogo..
Habari za uhakika hali ya mambo si nzuri kati ya Dr. Slaa, Mbowe na Lowassa. Kama zisipofanyika jitihada za hali na mali uwezekano wa Dr. Slaa kuachia nganzi ni mkubwa.
Ila kwa vile ndani ya Chadema kuna watu wenye busara na Dr. Slaa ni mtu mwenye busara hivyo ni mategemeo yangu kuwa hii hali ya sintofahamu wataisawazisha.
Ndugu wana duru Taifa letu linapita katika kipindi kigumu, ni kipindi ambacho si wanaccm au wanaukawa au vyama vingine wanafahamu ni lipi litatokea kesho.
Mbowe na viongozi wengine angalieni Chadema hisipasuke kwa ajili ya Lowassa.. Uwamuzi wenye hekima na busara unatakiwa kwa wakati huu ila kumbuka Dr. Slaa ni muhimu katika Chadema kuliko Lowassa maana bila Chadema imara Lowassa hasingetia mguu huku na Chadema Imara imetokana na mchango mkubwa na Dr. Slaa.
Mkuu siasa za Tanzania ni fluid sana. Analysis inawezakutoa majibu tofauti na hali halisi on the ground.
Hao wakereketwa ndio tunawaita base ni core ya chamachochote na sifa yao, ndio infrastructure
Inapotokea wakawa upset ni sawa na kuwa na meli nzuri sanatena kubwa , injini zake zikiwa hazifanyi kazi
Pollster sijui kama ilifanya analysis ya kutosha. Hili sijambo la namba tu, nadhani lipo zaidi ya hapo
Hoja nzuri sana ambayo wengi hawaelewi kwanini tunasema lipo tatizo.Wanajukwaa uchaguzi wa mwaka huu una changamoto kubwa kwa chama tawala na wapinzani.
Tumeambiwa kuwa leo lowassa anachukuwa fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya makao makuu ya chadema ufipa DSM, swali, je anachukua fomu kupambanishwa na nani? kama kuna kushindanishwa kwa mchujo je atakuwa tayari kukubali matokeo endapo yatakuwa tofauti na ilivyotegemewa? na kama inajulikana wazi kuwa yupo upinzani ili kupeperusha bendera ya urais kupitia ukawa kwanini achukue fomu?
Alinda, tunafahamu watu hawapendi kusikia ukweli, lakini ukweli una tabia moja, hujidhihiri wakati ukitimiaWanaduru ninatoka nje ya mada kidogo..