Mwita, mimi naamini kwa dhati kabisa kuwa wewe na baadhi ya watu mna malengo mema ya kuipeleka nchi kuzuri. Hata hivyo nina wasiwasi kuwa kuna watu wanawaangusha na wanaenda kinyume na malengo ya msingi.
Hapa JF siku hizi tumejenga utamaduni wa kuongea mambo kishabiki, kwahiyo tunajinyima fursa ya kujadili mada kwa undani. Tungemaintain ule utamaduni wa kujadili mada kwa hoja ungapata fursa ya kuona ninachokisema.
Hata hivyo for now labda tukubaliane tu kuwa problem moja inaweza kuwa na solutions nyingi, na lets hope kila mmoja wetu atafanikisha kutatua problem tunayoface kama taifa kwa kupitia njia aliyoamua...