CHADEMA UK yapata uongozi mpya

CHADEMA UK yapata uongozi mpya

Hahahahahahahha mkuu chilisosi, hii kitu inakuwaje tena? Baviha 45??????????????????
Hii kweli ni magumashi mwanzo mwisho.
Ila kama wewe umesema nimtu safi basi hana tatizo...

Gay's comment
 
Mkuu inanikumbusha nilipochaguliwa
no campaign
Bro rudi umekataa Almasi umekubali vichupa/vioo!Dirisha la usajiri 2015 karibu linafungwa angalia usije jilaumu!!! Hiyo timu ya uongoz, imesheheni majembe, Harakat za Petronila toka Mwenge-Sokoni/UDSM nazikumbuka. CDM tuna hazina nzuri.
 
Mkuu to be honest Huyo mwenyekiti ni jembe. When ur good ur good! Huyo Wa bavicha pia mtu safi Tatizo ni umri na kilaji, ukumbuke Kuwa hawa wote ni vijana wangu
Hata mimi nina kubaliana na wewe kuhusu Mwenyekiti. Vipi Dada Jessica na Chagula. Uliondoka nao CHADEMA?.
 
Hata mimi nina kubaliana na wewe kuhusu Mwenyekiti. Vipi Dada Jessica na Chagula. Uliondoka nao CHADEMA?.
Mkuu kwa kweli kuhusu huyo chagula mrembua macho sijui, ila tu ninachokuhakikishia kuwa ni kwamba mwenyekiti aliyechaguliwaa ninamfahamu vyema (tulikuwa bega kwa bega) na ni yeye pamoja na Dr Alex ndio majembe pekee ambayo kwa sababu moja au nyingine bado wamebaki huko ila ni watu ambao ninawaheshimu sana bila kusahau katibu mwenezi wao ni watu ambao kwa sabau moja au nyingine ndio maana unawaona wako huko lakini ni watu ambao ninawaheshimu sana.
Narudia tena, WHEN YOU ARE GOOD YOU ARE GOOD!
Siwezi kusema zaidi kuhusu hawa watu kwa sasa.
 
Mkuu Chilisosi hebu tumegee uzoefu hapa. Hivi vyama vyetu vinafaidikaje kwa sasa kwa kuwepo kwa haya matawi nje ya nchi?
Mkuu hakuna lolote zaidi ya ndoto za mchana.
Asilimia kubwa wanategemea ndio pa kutokea ......
 
ccm, richmond, epa, rada, maisha bora kwa watanzania na utawala wa sheria na uwajibikaji
Sasa hii inahusiana nini na swali langu nililomuuliza mchonga. Ninafikiri umeandika ukiwa unaota. Wake up!.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna lolote zaidi ya ndoto za mchana.
Asilimia kubwa wanategemea ndio pa kutokea ......

Kutokea???!!!
Mi nilidhani mtu ukishakuwa huko mamtoni ndo umeshatoka, na kurudi Tz, ni kwa 'huruma' tu ya kuja kusaidia kujenga taifa...
 
Bro rudi umekataa Almasi umekubali vichupa/vioo!Dirisha la usajiri 2015 karibu linafungwa angalia usije jilaumu!!! Hiyo timu ya uongoz, imesheheni majembe, Harakat za Petronila toka Mwenge-Sokoni/UDSM nazikumbuka. CDM tuna hazina nzuri.

atarudi vipi wakati chama ndicho kilicho mfukuza? huyu mtu ni gamba na bonge la mnafiki,mchumia tumbo..
 
Mkuu to be honest Huyo mwenyekiti ni jembe. When ur good ur good! Huyo Wa bavicha pia mtu safi Tatizo ni umri na kilaji, ukumbuke Kuwa hawa wote ni vijana wangu
Unaona raha mwenye kutaja taja kama hao jamaa ni vijana wako? Kwa hyo umewatuma waje wawe Pm7?
 
Hata mimi nina kubaliana na wewe kuhusu Mwenyekiti. Vipi Dada Jessica na Chagula. Uliondoka nao CHADEMA?.

Picha za Mnyika ziko wapi?
Mkuu hawajapata chopa iliyopaki apige NAyo picha.
Halafu nyomi ya watu nane bar haifai kuweka picha. Si unajua watu wamewashitukia hawa jamaa siku hizi.
Wengi walifuata nyayo za Lukosi kurudi NYUMBANI ndio maana huoni picha
 
Mkuu Chilisosi hebu tumegee uzoefu hapa. Hivi vyama vyetu vinafaidikaje kwa sasa kwa kuwepo kwa haya matawi nje ya nchi?

Kweli akili umeziacha mfukoni, unategemea gamba Chilisosi atakujibu nin?

Majibu ya maswali mengine yalishatolewa ufafanuzi humu JF.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawajapata chopa iliyopaki apige NAyo picha.
Halafu nyomi ya watu nane bar haifai kuweka picha. Si unajua watu wamewashitukia hawa jamaa siku hizi.
Wengi walifuata nyayo za Lukosi kurudi NYUMBANI ndio maana huoni picha

Unsound mind.
 
Sasa kama haituhusu mmetuambia hapa ya nini?

Si mlituwekea tangazo kuwa Mnyika "ataunguruma" huko London na kwamba vinjwaji na msosi utatolewa bure.

Mimi nilishangaa kuona mpaka London inatumika strategy ya ubwabwa kuwavuta watu!!!
Kwani Mnyika hajui kusema mpaka aungurume?
 
Back
Top Bottom