ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Mkuu hawajapata chopa iliyopaki apige NAyo picha.
Halafu nyomi ya watu nane bar haifai kuweka picha. Si unajua watu wamewashitukia hawa jamaa siku hizi.
Wengi walifuata nyayo za Lukosi kurudi NYUMBANI ndio maana huoni picha
Kweli mkuu utakuwa umeiweka cdm UK katika hali ngumu sana. Maana nimeshangaa kuona tawi kubwa kama London wanareserve meza moja hotelini kufanya uchaguzi.
Picha za Mnyika hazionekani kabisa.
Nakumbuka enzi zake pale Thatched House Barking tuliona picha zote live kila kitu. Ila siku hizi ni cdm uvunguni. Wanaweka picha ya mwenyekiti wa bavicha mwenye miaka 45 hahahahahaha