CHADEMA UK yapata uongozi mpya

CHADEMA UK yapata uongozi mpya

Ulikuwa umelewa gongo mjomba maana bila chadema hulali na siku haipiti peoples power 4ever
 
Mkuu mchonga mbona habari nusu nusu. Naomba utujuze, viongozi wapya walikuwa wanachuana na kina nani?.

wewe msukuma acha mambo ya ajabu kwani viongozi wapya lazima washindaniwe kama tawi ndo limeanza na hao ndo walivuta fomu hawakupata wapinzani na wakapita bila kupingwa wewe vipi bana

viva Chadema!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahha mkuu chilisosi, hii kitu inakuwaje tena? Baviha 45??????????????????Hii kweli ni magumashi mwanzo mwisho.Ila kama wewe umesema nimtu safi basi hana tatizo...
ZeMarcopolo na Chilisosi Mnajitekenya na kucheka wenyewe kazi mnayo.
 
wewe msukuma acha mambo ya ajabu kwani viongozi wapya lazima washindaniwe kama tawi ndo limeanza na hao ndo walivuta fomu hawakupata wapinzani na wakapita bila kupingwa wewe vipi bana

viva Chadema!
Tawi la CHADEMA UK halijaanza sasa, kulikuwa na viongozi toka kipindi Mh. Godbless Lema aende kulifungua mwaka jana.
 
Kijana wangu Huyo
ana miaka 45 ni mtu safi Tatizo lager

Yan akili yako kama ya shonza mkuu badilika... kijana huyu kweli ana miaka 45 au unataka kujifurahisha tu... KWELI BADO UNAUMIA SANA KUTOKUEPO CDM Kwan madili yako yalikuwa bado yajatimia ukatimuliwa pole sanaaaaaaaa
 
Kwani Ni Siri ?
Au hujui kuwa mie Ndio Nyerere wao? I started this.......

Mwl.Nyerere hajawahi kutajwa na sifa ya usaliti, ubinafsi na undumilakuwili. Sasa wewe mbeba box mwenye sifa zote za usaliti, ubinafsi na undumilakuwili unawezaje kujifananisha na Nyerere?? Au kuna Nyerere wa kalenga ndiye unayem refer?
Chris Lukosi wewe umeshakuwa makapi Chadema UK inasonga mbele pamoja na hujuma zote unazofanya ili kuonyesha kwamba bila wewe Chadema haiwezi kuwepo Uk.

Wewe endelea kuja kushangaa mabarabara yanayojengwa na magufuli tena Iringa lami tupu sasahivi ili ukawadanganye wanyalu wenzako uone kama watakupa kura.pamoja na kuishi Uk lakini hujaongeza uelewa ni sawa tu na hawa waganga njaa wanaolipwa buku mbili kwa post moja na lumumba.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni muasisi wa harakati zozote zinazoweza kuendelea kwahiyo from time to time wape ushauri ili wajue right direction...

Naona wewe na chilisosi mnaijaza tu thread hii kwa matapishi yenu..... bishaneni mpaka mwisho, harus ya wat mmeivalia shela.
 
Yan akili yako kama ya shonza mkuu badilika... kijana huyu kweli ana miaka 45 au unataka kujifurahisha tu... KWELI BADO UNAUMIA SANA KUTOKUEPO CDM Kwan madili yako yalikuwa bado yajatimia ukatimuliwa pole sanaaaaaaaa
Boss mimi ndio namfahamu tom tom vizuri.
Jamaa birthday yake tumeisherhekea wiki tatu zilizopita pale thatched house
 
Hata kwa sura hawa watu wanaonekana hawatakua ma_snitch
 
Mishumaa mingapi vile?
Hii ndio keki aliyokata siku hiyo
images
 
Mkuu huku tanzania kuna dawa inaitwa DAWA TATU naisi unaitaji!!!!

Weka picha wakat anakata keki hiyo.... basi na wewe mkuu utakuwa na 75 miaka kwa style hii.
Boss chadema UK ndio walimnun ulia hiyo keki au huoni rangi za chadema kwenye hiyo 5?
 
Back
Top Bottom