Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Mmmmhhhh haya banaTakuwekea hapa mabandiko yako ya kejeli dhidi ya Waislam bahati nzuri JF kuna kumbukumbu ya maandishi kila member.
Wewe si ndiyo unaandika humu Waislam wavaa mateneti, wavaa pedo, wanavizia wali wa itima, wanatembea na shanga mkononi huku wanahesabu. Kejeli nyingi tu umeandika humu.
Badilika hakuna mshindi kwenye vita vya dini.
Nitarudi baadaeChadema inaweza ikawa haina ubaya na waislam, lakini wewe, chokochoko zikianza labda ujifiche kwa swahiba wako Mohamed Mtoi
Ndg zangu waislam, islam nduguye islam chadema ni adui mkubwa wa islam tanzania kumbuka walivyo mtendea dada yetu kule igunga walimnyanyasa sana walimfedhehesha sana lakini hawakuomba msamaha hivyo nakuombeni wewe uliye mwislam adui ya mwislam ni adui ya waislam wote.
Katika uchaguzi wa 2010 zilichapishwa fulana kwa kuandikwa VOTE FOR PEDRO na watu kuzivaa makanisani. Kuvaa barghashia na kula nao futari pamoja haitoshi! kuna jambo zaidi la kufanywa nalo ni sera itakayozingatia mawazo yao.
Tofauti ni kubwa CHADEMA NI CHAMA CHA KIKROSTO na kikanda pia ni wanafiki waislamu hawapendi unafiki na ukanda hivyo basi chadema hawawezi kukaa meza moja na waislamu wakaaminiana.
Hayo yaliletwa na sultani kikwete kuitenganisha chadema na Uislamu lakini sasa yameanza kumtokea puani Waislamu wa Mtwara wameshaligundua sasa wanampa za USO
Nitarudi baadae
Mkuu Nibadilike niwe upande wa wezi (CCM) kama wewe haiwezekani kabisa piga uawewe ni binadamu mkuu, badilika
Jambo lingine ambalo linaonesha waislamu kuwa mbali kidogo na chadema ni nafasi ya Dr. Slaa ktk kanisa. Yeye ni Padri. Unadhani kwa nafac hiyo waislamu watachukulia poa hivyo? Chukulia Sheikh Alhadi Musa Salum wa Mkoa wa DSM anayekubalika na Waislam wengi agombee urais halafu padri fulani yupo chama kingine ww mkristo bila unafki utamchagua nani? Mm ni mwanachadema ila tukubalitukatae udini hivi sasa umetawala sn ktk nchi yetu. chanzo cha tatizo hili ilikuwa ni uchaguzi wa 2010 hasa ktk kampeni chafu za CCM
ahaa ha haaa! yule mama mkuu wa wilaya mfuga kitimoto maarufu pale mbezi beach!! kumtetea bi fatuma kimario hapo watu wazima mlichambia steelwire...lol!
yah lakini hiyo strategy inaonekana kuisaidia ccm kwa kuwa hata kipindi cuf imeshika hatamu za upinzani hapa nchini hii kitu pia ilitumika kuichafua cuf mpaka ikakosa umaarufu miongoni mwa wakristo wakiaminishwa kwamba cuf ni chama cha waislam,chama cha wapenda n.k. lakini ukweli ni kwamba cuf ni chama cha siasa tu na kimeendelea kuwa hivyo,ndio mana nasema viongozi wa cdm wasilikalie kimya hili,they have to do something kuondosha propaganda hii,wakikaa kimya na kujifanya eti hamna kitu kama hicho waislam zaidi watazidi kujiunga katika kuichukia cdm bila sababu
Mkuu naomba nitoe mtazamo tofauti na huo wako, waislamu pia wameenda shule wala hawaitaji upendeleo maalum kwa sababu ikiwa hivyo itafanyika kwa gharama ya nani kama sio ya upande wa pili na kuleta kitu chenye sura ilieile ya gharama za kuendesha mahakama ya kadhi, isipokuwa wale wachache wasioenda elimu dunia ndio wako na sauti sana na pia wana nyadhifa za juu kwenye taasisi za dini. nashauri walioenda shule waingie kwenye taasisi zao na kuwaelimisha wenzao wachache ambao wanachafua sura nzuri ya dini yao........Mimi naona sera za CDM zijikite kuwapa elimu waislamu hata kwa upendeleo maalum. Hii itakuwa na manufaa kwa taifa letu. Nchi zenye waislamu walioenda shule kama Singapore na Malaysia wameondokana na siasa hizi za maslahi ya kidini kuliko uarabuni kuliko na waislamu wasiojali elimu.
Wewe utashi wako uko vipi katika hili?je chadema imehusika kwa namna yeyote ile kufanya dhulma kwa waislam na uislam kiasi cha waislam kuhisi na kuamini ushirikishwaji na utambulikaji wao kama kundi lenye mahitaji uko na utazidi kuwa mashakani kama cdm itapewa ridhaa ya kuongoza taifa hili?je chadema pengine imeonesha dalili zozote za kutotaka kuona watu wenye itikikadi au imani ya dini ya kiislam wanajumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera ndani ya chadema?