chama cha kikristo? kinaongozwa na askofu gani? au huelewi ukristu ni nini? na kikanda? au unataja kimeasisiwa wapi? madrassatulfaidhina yanakusumbua, je ili kisiwe cha kikanda inabidi kiasisiwe wapi? tanzania nzima? haiwezekani...hata wewe ni mtanzania lakini kuna specific place ulipozaliwa sio ulizaliwa tz nzima...wewe ni jua?Tofauti ni kubwa CHADEMA NI CHAMA CHA KIKROSTO na kikanda pia ni wanafiki waislamu hawapendi unafiki na ukanda hivyo basi chadema hawawezi kukaa meza moja na waislamu wakaaminiana.
Kwa taarifa yako waislamu hawajawahi,hawatotishwa wala kujenga uoga na mtu wala kundi,hapa kinachozungumzwa ni watu wenye itikadi au imani ya kiislamu katika ushirikishwaji,kutambulika kama kundi lililo na mahitaji ,kujumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera kwa chama husika.FULL STOPngoja niwasaidie watu wa chadema naona wenyewe hawataki kukisaidia chama chao,ni rahisi tu,naomba nikuulize ukiacha upadre wa slaa labda ni lipi tatizo la chadema kwa maslahi uislam na waislam?pengine tuanzie hapo
Tehteh! Kwa UBWABWA tu Mbona Mtatupata!
Naona unahamu ya kukalia ufuo wa nazi.Tehteh! Kwa UBWABWA tu Mbona Mtatupata!
Nimewakejeli waislam wapi? Mkuu hizo ni propaganda mnazotumia nyinyi CCM nafikiri umeona ofisi zenu zinavyochomwa huko kusini lakini za CUF na CHADEMA hazijaguswa watu wameshawashtukia
Llsemwalo lipo kwani mwananchi wa kawaida ni ngumu sana kumtoa ktk propaganda hiyo mfano mikoa kama ya tanga,pwani nk nivyema m4c ikajikita huko kutoa elimu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hayo yaliletwa na
sultani kikwete kuitenganisha chadema na Uislamu lakini sasa yameanza
kumtokea puani Waislamu wa Mtwara wameshaligundua sasa wanampa za
USO
Unaposema chama ni ngumu kutangaza itafanya nn kwa watu wa dini fulani si kweli. mbona CCM waliweka ktk ilani yao juu ya kuanzisha mahakama ya kadhi kwa waislamu? Na nikwambie ndugu yangu Kikwete kura nyingi sn za waislamu alizipata kupitia suala hilo ingawa hata hvy ameonesha kushindwa. Chadema sio lazima kuahidi ila inapaswa tu kuwa karibu na waislamu na hata waktisto pia na kusaidia ktk jambo ambalo halitakuwa na shida ktk umoja wa kitaifa.
Jambo la ajabu kuna diwani wa Chadema kwenye moja ya kata huko rufiji..Jambo jingine lakushangaza ni kuwa Zitto Kabwe ni muislamu..Ccm hawawezi kuongoza chi bila kuwagawa watu sasa viongozi wa kiislamu wale mashehe ubwabwa ndo wanaoharibiwa Ccm kama ilivyotokea kule Igunga mpaka leo Bakwata wameshindwa kuwaomba Watanzania radhi kwa ujinga wa matamko yao kule Tabora
Takuwekea hapa mabandiko yako ya kejeli dhidi ya Waislam bahati nzuri JF kuna kumbukumbu ya maandishi kila member.
Wewe si ndiyo unaandika humu Waislam wavaa mateneti, wavaa pedo, wanavizia wali wa itima, wanatembea na shanga mkononi huku wanahesabu. Kejeli nyingi tu umeandika humu.
Badilika hakuna mshindi kwenye vita vya dini.
Takuwekea hapa mabandiko yako ya kejeli dhidi ya Waislam bahati nzuri JF kuna kumbukumbu ya maandishi kila member.
Wewe si ndiyo unaandika humu Waislam wavaa mateneti, wavaa pedo, wanavizia wali wa itima, wanatembea na shanga mkononi huku wanahesabu. Kejeli nyingi tu umeandika humu.
Badilika hakuna mshindi kwenye vita vya dini.
Nadhani wenyewe mnajionea mkiwemo mods,hii ndio hali halisi ya waislam wengi wanachodhania kuhusu chadema,msikimbilie kufunga mijadala kama hii kwa kudhani itaiumiza chadema,hivi ndio tunaisaidia chadema kujua nini kilichomo mioyoni mwa waislam wengi japo sio wote nasisitiza,mfano ni huyu bwana ninaereply kwenye comment yake,sasa mtu kama huyu anapaswa kusaidiwa na chadema sio kubezwa na kukejeliwa and on top of that kufunga ama kufuta thread,that's nah gonna help either!
Kwa taarifa yako waislamu hawajawahi,hawatotishwa wala kujenga uoga na mtu wala kundi,hapa kinachozungumzwa ni watu wenye itikadi au imani ya kiislamu katika ushirikishwaji,kutambulika kama kundi lililo na mahitaji ,kujumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera kwa chama husika.FULL STOP