CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

Mchina haibiwi kiboya mkuu wale wanachapa ngumi hadi Mawaziri huko Uganda.
Zile mahindra za Zulma mpaka wakafilisi muhindi wa watu,leo hii wanapiga hesabu ya kumzulumu Mchina
 
Huu uchaguzi mdogo tunategemea wananchi wataiadhibu CCM kwa vitambulisho vya Nyanya tano na korosho pamoja na vyuma kukaza.
 
Ccm safari hii lazima watajiona wana nuksi
Huu uchaguzi mdogo tunategemea wananchi wataiadhibu CCM kwa vitambulisho vya Nyanya tano na korosho pamoja na vyuma kukaza.
 
Back
Top Bottom