CHADEMA tv

CDM bana wana Website wanasema wana TV hata unashindwa kuelewa, cha ajabu Pro-CDM wote wanakubaliana eti wana TV wakati hawana

Hapo kwenye red inategemea kama una define vipi TV. Maana kwa technologia ya sasa unaweza kuwa na Internet TV or online TV. Teknologia ya sasa inaruhusu kuangalia TV mahali popote pale.
 
Najua kama online TV internet tena nyingi ni za bure, nataka kujua tu CDM wana free online TV?
 
Una maana their online TV ni ya kulipia? Sio free?
 
Tunaondoka kwenye analogy, tunaingia kwenye digital, masafa hayana faida tena kuanzia 2013 jan..
 
mkuu jitahidi kuchangia post nyingi ili avatar yako niione mara kwa mara

Mkuu mie naona Gerrad achangie mara nyingi Signature yake iweze kusomwa mara nyingi na walafi wa IKULU
 
Hapo kwenye red inategemea kama una define vipi TV. Maana kwa technologia ya sasa unaweza kuwa na Internet TV or online TV. Teknologia ya sasa inaruhusu kuangalia TV mahali popote pale.

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Chimala Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…