chadema ushindi lazma huko moshi kiboroloni mgombea wa ccm amejitoa kwenye kugombea alishajua ushindi wa chadema
CCM wasahau Arusha!!!pamoja na kugawa fedha na kuwrubuni vijana eti wajiunge kwenye vikundi ili wawezeshwe!!lakini hamna kitu wataambulia!!!Kula ccm kulala Chadema!!!CHADEMA DAIMA