Barua ya wazi kwa m'kiti wa Chama Cha Wananchi - CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Office of Chairman,
P. O. Box 10979,
Dar es salaam, Tanzania
E-mail:lipumba@yahoo.com
Homepage:www.cuf.or.tz
Date: 01/05/2019.

YAH: MALALAMIKO YA KUZUKA MGOGORO MPYA BAADA YA KUMALIZIKA MGOGORO ULIOKUEPO.

Salaam Ghalaykum,
Bwana Yesu asifiwe.

Sisi Wanachama wazalendo na watiifu wa Chama cha Wananchi-CUF tumeamua kwa maksudi kukuandikia wewe M'kiti wetu, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba barua hii ya wazi ili Wana-CUF wote wa Tanzania wapate kujua kile kinachoendelea kwenye Chama chao kua, kunahitajika nguvu ya ushawishi kutoka kwao ya kuwataka Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Wananchi CUF kifungu cha 91 (1)(f), wakutake wewe na Makamo M'kiti wa Chama chetu Mhe. Abass Juma Muhunzi kuitisha kikao cha dharura kikiwa na ajenda moja tu ya kukinusuru Chama kutoingia katika mgogoro utakaokiua na kukiangamiza na kupelekea Chama kushindwa kufanya kazi za kujipanga kuelekea kwenye chaguzi za Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kabla ya muda ambao umeshakwishatangazwa kufanyika kwa chaguzi hizo mwishoni mwa mwaka huu wa 2019 na Wizara ya Tamiseni pamoja na Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mhe. M'kiti, Prof. Ibrahim Lipumba, msingi wa hoja yetu hii ni kwamba,tarehe 14,15,16 March 2019 tulikamilisha Mkutano Mkuu wa Chama chetu ambao ulichagua M'kiti, Makamo Wenyeviti wawili na Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa kama katiba inavyoelekeza na baadae Baraza Kuu la Uongozi la Taifa likateua Katibu Mkuu na Manaibu Katibu Wakuu wawili, mmoja kutoka Zanzibar na mmoja kutoka Bara. Baada ya mchakato huo kumalizika tukajikuta tukikinzana na kauli mbiu yetu ya "HAKI SAWA KWA WOTE" hasa katika nafasi za juu za uongozi wa kitaifa, kwani uwiyano uliozoeleka tangu kuasisiwa kwa Chama hiki mwaka 1992 katika kusimamia nafasi za juu zilikua zikienda maeneo tofauti ya nchi zetu mbili. Kwa mara ya kwanza jambo hili hukulizingatia Mhe. M'kiti.

Chama chetu kilikua na mfumo wa M'kiti akitoka Bara, Makamo M'kiti na Katibu Mkuu anatoka Zanzibar na huku Zanzibar nafasi hizo mbile, vile vile hazitoki sehemu moja. Yaani mmoja akitoka Unguja, mmoja hutoka Pemba. Haya yalifanywa ili kuimarisha umoja wetu uliodumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 25.

Mhe. M'kiti, sisi Wanachama wako kwa mara ya kwanza katika kipindi chote cha uongozi wako, tunashuhudia Katibu Mkuu anatoka Pemba, Naibu Katibu Mkuu Pemba na Makamo M'kiti Pemba. Licha ya hayo Mhe. M'kiti na huko Pemba pia umeshindwa kumpendekeza aliekua Naibu Katibu Mkuu wa mwanzo wa Chama hiki, Mhe. Nassor Seif Amour, mtu alieunga mkono na kuongoza mapambano ya kuung'oa uongozi wa Maalim Seif Sgarif Hamad na genge lake bila ya uoga na badala yake ukapendekeza Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ambao kwa kiwango kikubwa hawana uwezo wa kuongoza mapambano ya medeli za siasa za Zanzibar.

Mhe. M'kiti, kelele za Wanachama zilikua nyingi hivi karibuni wakidai kua, wote walioteuliwa ni watu kutoka Pemba na pia kukosekana kwa Mhe. Nassor Seif ndani ya nafasi hizo kuliwafadhaisha walio wengi. Kelele hizo Mhe. M'kiti ulizisikia lakini hukuzitilia maanani

Pamoja na hayo, Mhe. M'kiti, sisi Wanachama wako tuliamini kua, kupitia kelele zile ungetafakari upya na kujirekebisha, lakini juzi tarehe 28/04/2019 ulipoongea na Waandishi wa habari na kufanya teuzi katika nafasi mbali mbali za Chama na Jumuiya, hukusahihisha makosa yako na badala yake umerejea yale yale.

Mhe. M'kiti, wakati unatoa taarifa yako kwa Waandishi wa habari, Makamo M'kiti wako wa Tanzania Bara, Mhe. Maftah Nachuma hakuwepo katika mkutano wako na sisi Wanachama wako tunafahamu sababu za kutoshiriki kwake.

Mhe. M'kiti, uteuzi uliofanya siku hiyo umeotesha upya donda na kupalilia mpasuko ndani ya Chama chetu. Sisi Wanachama wako hatukuamini hata kidogo kile tulichokiona kwamba, wapambanaji waliokiokoa Chama hiki kina Thomas Malima, Mzee Mshashu Mgee na Salama Masoud, umewapiga na chini licha ya kazi kubwa waliyoifanya ya kuuvunja Mkutano Mkuu wa Maalim Seif na kuhakikisha kua wewe M'kiti wetu unalindwa na kurejeshwa Buguruni kwa shangwe na vigelegele pamoja na kelele na malalamiko mingi yaliyotolewa na Wanachama waliokua wakimuunga mkono Katibu Mkuu tuliemuondosha, Maalim Seif Sharif Hamad.

Mhe. M'kiti, kwa wateule wako hao hasa wa upande wa Zanzibar, umetutia simanzi kwasababu wewe M'kiti wetu unazijua vizuri siasa za Zanzibar. Licha ya tofauti zako na Maalim, kua nae karibu kulikupa fursa nzuri ya kuzisoma siasa za Zanzibar hasa linapokuja suala la kugawa nafasi za visiwa hivyo viwili.

Mhe. M'kiti, hivi leo umesahau kua tulifika wakati ndani ya Baraza Kuu la Uongozi la Taifa nafasi zilikua 20 ambapo zaidi ya nafasi 15 zilikua zikigombewa na watu kutoka Pemba jambo ambalo lilileta fitna sana, mpaka pale busara za Maalim Seif zilipotumika na baadae kufikia makubaliano ya kua kila upande uchukue nafasi 10 zikiwemo tatu za Wanawake?

Mhe. M'kiti, hemu tizama sasa, ivi hii kweli ni haki? Umemteua Makamo M'kiti, Mhe. Abass Juma Muhunzi - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Fedha, Omar Mohamed Omar - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera, Mohamed Habibu Nyaa - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mohamed Vuai Makame - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Mbarouk Seif Salim - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Haroub Mohamed Shamis - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Mafunzo na Uhamasishaji, Thinney Juma Mohamed - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Kaimu Katibu Mtendaji wa JUVICUF, Yussuf Kaiza Makame - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Kaimu M'kiti wa JUKECUF, Dhifaa Mohamed Bakar - Mzaliwa wa Kusini Pemba na Kaimu Katibu Mtendaji wa JUKECUF, Leila Jabir Haji - Mzaliwa wa Kusini Pemba.

Mhe. M'kiti, hawa wote umewateua upande mmoja tu wa Kusini Kisiwani Pemba, Je! Kaskazini Pemba hakuna watu? Ivi Mhe. M'kiti baada ya kumtupa muasisi wa mapambano haya, Mhe. Nassor Seif umemtupa na muasisi mwengine wa mapambano haya, Mhe. Ali Makame Issa? Mhe. M'kiti, umesahau kua, Ali Makame Issa ndie kiungo chetu na SMZ na ndie kiungo chetu kilichotusaidia kua karibu na SMZ na hata msaada wa fedha za kufanyia Mkutano Mkuu ulipitia kwake kutoka SMZ kuja kwetu? Mtu aliepaswa kua Mkurugenzi wetu wa fedha, Mhe. M'kiti nae pia umempiga na chini?

Mhe. M'kiti, umekubali kumpa nafasi hiyo Omar Mohamed Omar ambaye hakusaidia chochote isipokua udugu wake na Makamo M'kiti, Mhe. Abass Juma Muhunzi? Uteuzi wote Mhe. M'kiti umeenda kidugu. Jambo hili Mhe. M'kiti limetuletea mgogoro mkubwa zaidi. Umemteua Leila Jabir, mke wa Mussa Haji Kombo Mhe. M'kiti?

Mhe. M'kiti, leo tutakiendesha vipi Chama hiki na hasa katika majimbo ya Unguja kwa mgawanyo huu wa madaraka? Ivi Ali Mussa Makame atakua na uso gani katika jamii na atayasimamia vipi mambo ya SMZ bila ya kua na madaraka ya kisiasa? Unakitazamaje Chama kwa upande wa Zanzibar, Mhe. M'kiti?

Mhe. M'kiti, yametupata mengi magumu, kwa hivyo lazima wewe na Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa mujue kua tunayajua mengi. Ivi kweli umemuondoa Prof. Haroub Shamis ambae alitusaidia fedha kipindi tulipokosa ruzuku na kumueka Omar Mohamed Omar kwasababu tu ni ndugu wa Makamo M'kiti? Ivi kweli Mhe. M'kiti umewaacha wapambanaji kama Ali Rashid Abarani na Nadhira Ali Haji Makame mwenye sifa ya kuweza kuzungumza na kuchambua mambo pasi na woga umempa nafasi shemegi yake Mnyaa muuza hotel?

Mhe. M'kiti, hatuwezi kumlaumu Katibu Mkuu wwtu, Mhe. Khalifa Ali Suleiman kwenye hili kwasababu hakutajwa katika Katiba kua na sifa au uwezo wa kuteua ila tunafikisha salamu zake kwako kua, hata yeye hakufurahishwa na teuzi hizi.

Mhe. M'kiti, hivi sasa tunapoandika barua hii kwako tunakutaarifu kua, Chama kwa upande wa Zanzibar kina mpasuko mkubwa na Makamo M'kiti wako, Mhe. Abass Juma Muhunzi jana, siku ja Jumamosi, tarehe 30/04/2019 aliitisha kikao katika Ofisi za Kilimahewa kutaka kuituliza hali hiyo lakini hakufanikiwa. Sisi wengine tulitishia kuacha Uanachama na kujiunga na Vyama vyengine na tutafanya hivyo kama hili halitorekebishwa.

Mhe. M'kiti, kwa maelezo hayo na mengine mengi tunayahifadhi, tunaliomba sana Baraza Kuu la Uongozi la Taifa wakuombe wewe Mhe. M'kiti uitishe kikao cha dharura kabla ya kikao cha kuthibitishwa kwa teuzi hizo.

Ni matarajio yetu kua, Baraza Kuu la Uongozi la Taifa pamoja na wewe mutalizingatia ombi hili kabla ya Wanachama watu hawajachukua hatua kali itakayokiathiri Chama chetu.

Tunakutakia kheri ya siku ya Wafanyakazi.

HAKI SAWA KWA WOTE

Wako watiifu,

Wafia Chama.
 
Umeandika vizuri sana, kwa sisi funaofatilia hizi sarakasi za chama katika kipindi hiki cha mpito tumeyasikia mengi sana,
CUF kwa sasa ni delete wabaguzi, delete kabisa timu seif, Ondoa wenye majungu weka wafia chama
Cuf wameondoka wengi sana kwenda ADC
Na wengine Chadema na wengine CCM na wengine ACT
chama kipo na kuanza upya si ujinga,
hamuwezi kuwa viongozi wanachama wote wa CUF,, ilo hata chadema alipo, ccm alipo Act alipo
Kuhama chama ni utashi wa mtu labda umevutiwa na sera, falsafa na itikadi ya chama kingine ni ruksa kuhama kama walivyohama wengine pale CUF..
 
POLENI SANA WANA CUF WAFIA CHAMA ILA HAYA YOTE AMEYATAKA LIPUMBA MTAZUNGUKA KOTE ILA MCHAWI WENU MKUBWA CUF NI LIPUMBA ...........

NA HAPO NDO KWANZA MWANZO TUU
 
Wafuasi wa Lipumba kutoka Pemba itakuwa ni watu wajinga kiasi gani sijui kama mulikuwa hamujui kuwa lengo la Lipumba ni kuifanya CUF kuwa sawa na UVCCM.

Maalim ame sacrifice maisha yake yote kuwatetea nyinyi Wapemba na kutumia Waunguja kama ni kivuli na Watanganyika kuhitimisha akidi tu kama inavotaka kisheria!

Haki sawa kwa wote ilikuwa ina maana haki sawa sio kwa Waunguja tu bali ishirikishe Wapemba pia kama ni Wazanzibari.

Mumeamua kuuza utu wenu kwa tamaa ya pesa ya rushwa. Laana itawaandama nyinyi na vizazi vyenu vyote mpaka kiama!
 
Unakwandikia barua mtu aliyeipeleka CUF kibra, unafikiri utapata usaidizi gani hapo.
 
Kazi ya kwanza ya lipumba kwenye hili ilikuwa ni kushirikiana na watawala kumpoka maalim seif chama kwa gharama yoyote

Kazi ya pili ni kuiondowa CUF kwenye ramani ya Dunia.- Hii ndio inaendelea sasa, kuna mambo mengi yatajitokeza.

Kazi ya tatu na kubwa kuliko zote ni kutumika kuvuruga ajenda ya Zanzibar kuwa na malaka kamili na kua na Muungano wa usawa( HAKI SAWA KWA WOTE) Watawala wanaamini CUF na Maalim Seif ndio kikwazo.

TANBIHI.

Hili la tatu katu Lipumba hatoliweza. Nguvu ya kizalendo imeshapelekwa kwengine na ajenda iko kwenye mikono Salama. Anachokifanya Lipumba ni kuharakisha kuimaliza CUF makapi na sio original. Maalim Seif alikuwa kiungo wa CUF na hili Lipumba na waliomtuma wanalifahamu. Huko kukosa busara za kuteuwa watu kutoka eneo moja ni makusudi.ili kuimaliza CUF na kufikia kazi ya waliomtuma.

Mwisho

Nawaonea Huruma akina Halifa na Muhuzi kwa kurukia ajenda ya watu. Kikundi cha watu watatu kutoka bara majina tunayo kikiongozwa na Lipumba, wanakamilisha kazi na ili kipindi cha Pili cha JPM, watapewa zawadi huko serikalini na ughaibuni. Wakati huo CUF itakuwa haipo tena na wanadhani Ajenda ya Zanzibar itakuwa imeshadhibitiwa. Jee watafanikiwa ?

Diverision ya Maalim Seif imepelekea SMZ kukaa vikao vingi kujadili hatma ya Maalim Seif na mzimu wa 2015 bila mafanikio. Kinachoendelea ni kufikiria njia mbadala za kumkwamisha huko aliko. Kilicho kizuri ni kuwa AJENDA YA ZANZIBAR IKO VIZURI NA ITAWASHANGAZA WENGI.

Mungu hadhihakiwi.

Kila la Heri wazanzibari, kila la heri Maalim Seif. Muda utasema.Mungu ibariki Tanzania ya yenye Muungano wa HAKI
 
Na mtasema yote mliyoyafanya kwa siri kupitia SMZ. Naona kwa mbali mmeanza kutoa siri na kuonesha kuwa katika mgogoro huu SMZ ilihusika hadi kugharamia gharama za vurungu..na bado huo ni mwanza tu
 
Office of Chairman,
P. O. Box 10979,
Dar es salaam, Tanzania
E-mail:lipumba@yahoo.com
Homepage:www.cuf.or.tz
Date: 01/05/2019.

YAH: MALALAMIKO YA KUZUKA MGOGORO MPYA BAADA YA KUMALIZIKA MGOGORO ULIOKUEPO.

Salaam Ghalaykum,
Bwana Yesu asifiwe.

Sisi Wanachama wazalendo na watiifu wa Chama cha Wananchi-CUF tumeamua kwa maksudi kukuandikia wewe M'kiti wetu, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba barua hii ya wazi ili Wana-CUF wote wa Tanzania wapate kujua kile kinachoendelea kwenye Chama chao kua, kunahitajika nguvu ya ushawishi kutoka kwao ya kuwataka Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Wananchi CUF kifungu cha 91 (1)(f), wakutake wewe na Makamo M'kiti wa Chama chetu Mhe. Abass Juma Muhunzi kuitisha kikao cha dharura kikiwa na ajenda moja tu ya kukinusuru Chama kutoingia katika mgogoro utakaokiua na kukiangamiza na kupelekea Chama kushindwa kufanya kazi za kujipanga kuelekea kwenye chaguzi za Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kabla ya muda ambao umeshakwishatangazwa kufanyika kwa chaguzi hizo mwishoni mwa mwaka huu wa 2019 na Wizara ya Tamiseni pamoja na Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mhe. M'kiti, Prof. Ibrahim Lipumba, msingi wa hoja yetu hii ni kwamba,tarehe 14,15,16 March 2019 tulikamilisha Mkutano Mkuu wa Chama chetu ambao ulichagua M'kiti, Makamo Wenyeviti wawili na Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa kama katiba inavyoelekeza na baadae Baraza Kuu la Uongozi la Taifa likateua Katibu Mkuu na Manaibu Katibu Wakuu wawili, mmoja kutoka Zanzibar na mmoja kutoka Bara. Baada ya mchakato huo kumalizika tukajikuta tukikinzana na kauli mbiu yetu ya "HAKI SAWA KWA WOTE" hasa katika nafasi za juu za uongozi wa kitaifa, kwani uwiyano uliozoeleka tangu kuasisiwa kwa Chama hiki mwaka 1992 katika kusimamia nafasi za juu zilikua zikienda maeneo tofauti ya nchi zetu mbili. Kwa mara ya kwanza jambo hili hukulizingatia Mhe. M'kiti.

Chama chetu kilikua na mfumo wa M'kiti akitoka Bara, Makamo M'kiti na Katibu Mkuu anatoka Zanzibar na huku Zanzibar nafasi hizo mbile, vile vile hazitoki sehemu moja. Yaani mmoja akitoka Unguja, mmoja hutoka Pemba. Haya yalifanywa ili kuimarisha umoja wetu uliodumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 25.

Mhe. M'kiti, sisi Wanachama wako kwa mara ya kwanza katika kipindi chote cha uongozi wako, tunashuhudia Katibu Mkuu anatoka Pemba, Naibu Katibu Mkuu Pemba na Makamo M'kiti Pemba. Licha ya hayo Mhe. M'kiti na huko Pemba pia umeshindwa kumpendekeza aliekua Naibu Katibu Mkuu wa mwanzo wa Chama hiki, Mhe. Nassor Seif Amour, mtu alieunga mkono na kuongoza mapambano ya kuung'oa uongozi wa Maalim Seif Sgarif Hamad na genge lake bila ya uoga na badala yake ukapendekeza Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ambao kwa kiwango kikubwa hawana uwezo wa kuongoza mapambano ya medeli za siasa za Zanzibar.

Mhe. M'kiti, kelele za Wanachama zilikua nyingi hivi karibuni wakidai kua, wote walioteuliwa ni watu kutoka Pemba na pia kukosekana kwa Mhe. Nassor Seif ndani ya nafasi hizo kuliwafadhaisha walio wengi. Kelele hizo Mhe. M'kiti ulizisikia lakini hukuzitilia maanani

Pamoja na hayo, Mhe. M'kiti, sisi Wanachama wako tuliamini kua, kupitia kelele zile ungetafakari upya na kujirekebisha, lakini juzi tarehe 28/04/2019 ulipoongea na Waandishi wa habari na kufanya teuzi katika nafasi mbali mbali za Chama na Jumuiya, hukusahihisha makosa yako na badala yake umerejea yale yale.

Mhe. M'kiti, wakati unatoa taarifa yako kwa Waandishi wa habari, Makamo M'kiti wako wa Tanzania Bara, Mhe. Maftah Nachuma hakuwepo katika mkutano wako na sisi Wanachama wako tunafahamu sababu za kutoshiriki kwake.

Mhe. M'kiti, uteuzi uliofanya siku hiyo umeotesha upya donda na kupalilia mpasuko ndani ya Chama chetu. Sisi Wanachama wako hatukuamini hata kidogo kile tulichokiona kwamba, wapambanaji waliokiokoa Chama hiki kina Thomas Malima, Mzee Mshashu Mgee na Salama Masoud, umewapiga na chini licha ya kazi kubwa waliyoifanya ya kuuvunja Mkutano Mkuu wa Maalim Seif na kuhakikisha kua wewe M'kiti wetu unalindwa na kurejeshwa Buguruni kwa shangwe na vigelegele pamoja na kelele na malalamiko mingi yaliyotolewa na Wanachama waliokua wakimuunga mkono Katibu Mkuu tuliemuondosha, Maalim Seif Sharif Hamad.

Mhe. M'kiti, kwa wateule wako hao hasa wa upande wa Zanzibar, umetutia simanzi kwasababu wewe M'kiti wetu unazijua vizuri siasa za Zanzibar. Licha ya tofauti zako na Maalim, kua nae karibu kulikupa fursa nzuri ya kuzisoma siasa za Zanzibar hasa linapokuja suala la kugawa nafasi za visiwa hivyo viwili.

Mhe. M'kiti, hivi leo umesahau kua tulifika wakati ndani ya Baraza Kuu la Uongozi la Taifa nafasi zilikua 20 ambapo zaidi ya nafasi 15 zilikua zikigombewa na watu kutoka Pemba jambo ambalo lilileta fitna sana, mpaka pale busara za Maalim Seif zilipotumika na baadae kufikia makubaliano ya kua kila upande uchukue nafasi 10 zikiwemo tatu za Wanawake?

Mhe. M'kiti, hemu tizama sasa, ivi hii kweli ni haki? Umemteua Makamo M'kiti, Mhe. Abass Juma Muhunzi - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Fedha, Omar Mohamed Omar - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera, Mohamed Habibu Nyaa - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mohamed Vuai Makame - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Mbarouk Seif Salim - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Haroub Mohamed Shamis - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Mkurugenzi wa Mafunzo na Uhamasishaji, Thinney Juma Mohamed - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Kaimu Katibu Mtendaji wa JUVICUF, Yussuf Kaiza Makame - Mzaliwa wa Kusini Pemba, Kaimu M'kiti wa JUKECUF, Dhifaa Mohamed Bakar - Mzaliwa wa Kusini Pemba na Kaimu Katibu Mtendaji wa JUKECUF, Leila Jabir Haji - Mzaliwa wa Kusini Pemba.

Mhe. M'kiti, hawa wote umewateua upande mmoja tu wa Kusini Kisiwani Pemba, Je! Kaskazini Pemba hakuna watu? Ivi Mhe. M'kiti baada ya kumtupa muasisi wa mapambano haya, Mhe. Nassor Seif umemtupa na muasisi mwengine wa mapambano haya, Mhe. Ali Makame Issa? Mhe. M'kiti, umesahau kua, Ali Makame Issa ndie kiungo chetu na SMZ na ndie kiungo chetu kilichotusaidia kua karibu na SMZ na hata msaada wa fedha za kufanyia Mkutano Mkuu ulipitia kwake kutoka SMZ kuja kwetu? Mtu aliepaswa kua Mkurugenzi wetu wa fedha, Mhe. M'kiti nae pia umempiga na chini?

Mhe. M'kiti, umekubali kumpa nafasi hiyo Omar Mohamed Omar ambaye hakusaidia chochote isipokua udugu wake na Makamo M'kiti, Mhe. Abass Juma Muhunzi? Uteuzi wote Mhe. M'kiti umeenda kidugu. Jambo hili Mhe. M'kiti limetuletea mgogoro mkubwa zaidi. Umemteua Leila Jabir, mke wa Mussa Haji Kombo Mhe. M'kiti?

Mhe. M'kiti, leo tutakiendesha vipi Chama hiki na hasa katika majimbo ya Unguja kwa mgawanyo huu wa madaraka? Ivi Ali Mussa Makame atakua na uso gani katika jamii na atayasimamia vipi mambo ya SMZ bila ya kua na madaraka ya kisiasa? Unakitazamaje Chama kwa upande wa Zanzibar, Mhe. M'kiti?

Mhe. M'kiti, yametupata mengi magumu, kwa hivyo lazima wewe na Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa mujue kua tunayajua mengi. Ivi kweli umemuondoa Prof. Haroub Shamis ambae alitusaidia fedha kipindi tulipokosa ruzuku na kumueka Omar Mohamed Omar kwasababu tu ni ndugu wa Makamo M'kiti? Ivi kweli Mhe. M'kiti umewaacha wapambanaji kama Ali Rashid Abarani na Nadhira Ali Haji Makame mwenye sifa ya kuweza kuzungumza na kuchambua mambo pasi na woga umempa nafasi shemegi yake Mnyaa muuza hotel?

Mhe. M'kiti, hatuwezi kumlaumu Katibu Mkuu wwtu, Mhe. Khalifa Ali Suleiman kwenye hili kwasababu hakutajwa katika Katiba kua na sifa au uwezo wa kuteua ila tunafikisha salamu zake kwako kua, hata yeye hakufurahishwa na teuzi hizi.

Mhe. M'kiti, hivi sasa tunapoandika barua hii kwako tunakutaarifu kua, Chama kwa upande wa Zanzibar kina mpasuko mkubwa na Makamo M'kiti wako, Mhe. Abass Juma Muhunzi jana, siku ja Jumamosi, tarehe 30/04/2019 aliitisha kikao katika Ofisi za Kilimahewa kutaka kuituliza hali hiyo lakini hakufanikiwa. Sisi wengine tulitishia kuacha Uanachama na kujiunga na Vyama vyengine na tutafanya hivyo kama hili halitorekebishwa.

Mhe. M'kiti, kwa maelezo hayo na mengine mengi tunayahifadhi, tunaliomba sana Baraza Kuu la Uongozi la Taifa wakuombe wewe Mhe. M'kiti uitishe kikao cha dharura kabla ya kikao cha kuthibitishwa kwa teuzi hizo.

Ni matarajio yetu kua, Baraza Kuu la Uongozi la Taifa pamoja na wewe mutalizingatia ombi hili kabla ya Wanachama watu hawajachukua hatua kali itakayokiathiri Chama chetu.

Tunakutakia kheri ya siku ya Wafanyakazi.

HAKI SAWA KWA WOTE

Wako watiifu,

Wafia Chama.
kumekucha....
 
Njaa inapopsnda na kutafuna ubongo haya ndio madhara yake. By the way Cuf is arleady dead and burried.
 
Mpaka uchaguzi unakamilika ulikua nxhi gani?,wewe humuwezi Lprofesee
 
Back
Top Bottom