Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Kwahiyo ccm mliompiga na kumjeruhi mtia nia wenu nao ni cdm? Shirikisha ubongo wako
Kiswahili Chako Kweli wewe ni mmawia waulize wamakonde watakuambia maana ya Jina lako!
Kwahiyo ccm mliompiga na kumjeruhi mtia nia wenu nao ni cdm? Shirikisha ubongo wako
Hao makuli wa Tunduma Hawajitambui, ni viroba Vya zambia vinawatoa akili
Kwa kuwa mji unaoongoza kwa Ukimwi Sawa maana watu wengi wameathirika na matumizi ya dawa za kupunguza Makali. Ndio mji wenye maambukizo Mengi TANZANIA hongereni kwa hilo
Naona Wanatunduma mnaendelea kudhihirisha ujinga na ufinyu wenu wa akili kumbe tathimini yangu iko sahihi
Tunduma hii ya Mbeya Wilaya mpya ya Momba? Au tunduma gani? Maana Nataka kujua kama Tunduma ya Mbeya unayoizungumzia!
Kama ya Mbeya basi nitaamini kuwa Vijana wa Bavicha wameshaanza kuwa vichaa maana hawaijuwi Tunduma. Sio ya Mbeya kwani pepo wanayoizungumzia ipi? Kwa watu aina gani? Class gani? Au makuli au wauza mchele? Au wauza mitumba? Au mama ntilie wanaouza chakula Usiku Na mchana kwasababu ya Malory? Au wenye guest house wanaolaza wenye Malory?
Wewe ni nani hadi uichagulie cdm kiongozi?
achana naye kamanda hajui ukiwa tu chadema basi wewe umekuwa umefika chuo kikuu
Tupo pamoja kamanda kwenye ukombozi wa kuyaondoa haya mahinterahamwe
Siwachagulii ila nawashauri kuwa Kuchagua kiongozi mwenye ufanisi kwenu ni haki yenu ya msingi, coz huyo mliyemchagua ambaye hata hana madhara zaidi ya kuwafundisha kuunda vikund vya kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vya siasa
Kwa kueneza Ukimwi Hongera zenu Tunduma mmefanikiwa sana kwa kiwango Cha juu sana
Kiswahili Chako Kweli wewe ni mmawia waulize wamakonde watakuambia maana ya Jina lako!
Hao makuli wa Tunduma Hawajitambui, ni viroba Vya zambia vinawatoa akili
Silinde atashinda Momba bila shaka kwa sababu kwa kiasi kikubwa ameweza kuyaishi maisha ya mbunge wa Momba, lakini haiondoi ukweli namna alivyoingia madarakani!Ni kijana wangu na mbunge wangu na nadhani kafanya vema kwa miaka hii mitanoPole sana mtenda dhuluma mwaka huu utajitia kitanzi maana cdm itakomba majimbo kibao
Nimesema kweli tupu,hata Mbunge wangu mpendwa "Dogo" Silinde anajua ukweli huo!Umekosekana ushahidi tu kama ambavyo ushahidi wa wauza unga ulivyo mgumu kuupata!Silinde hajanikosea jambo na naamini atashinda tena kwa kishindo kwa sababu hakwenda bungeni na kuwapigania wauza unga bali ameweza kuwasemea watu wa Momba!So good for first term, we give him extra 5 years!MTENDAHAKI;
Hii tabia yenu maccm kuwatukana watu mmeileta wapiiiii??? Mnajishushia hadhi hivi hivi tuu. Katibu wako mwenezi kawatukana watu ati walipewa viroba, weye unatukana watu wa Tunduma ati ni wauza unga na wavuta bangi. Ina maanaa unawatuma ma don kupeleka mzigo kuleeee??
Hawatapata nafasi kwani Tunduma wapo wenye akili zao timamu walio amua kumtoa huyu mkoloni wa rangi ya kijani. Hawata tawaliwa tena asilani. Funguka MTENDAHAKI; njoo huku kwenye wokovu kamili. Mh Silinde kakukosea nini hata umtaje huku
Nimesema kweli tupu,hata Mbunge wangu mpendwa "Dogo" Silinde anajua ukweli huo!Umekosekana ushahidi tu kama ambavyo ushahidi wa wauza unga ulivyo mgumu kuupata!Silinde hajanikosea jambo na naamini atashinda tena kwa kishindo kwa sababu hakwenda bungeni na kuwapigania wauza unga bali ameweza kuwasemea watu wa Momba!So good for first term, we give him extra 5 years!
Kama tatizo ni kumsema hapa nakaa zangu kimya!MTENDAHAKI;
Nakuomba utende tu kwa haki. Utawezaje kusema kwamba umesema kweli tupu wakati unamtaja Mh. Mbunge tena kwa jina na jimbo kuwa alipelekwa na wauza unga bungeni?? Jamani, hivi weye ungeandikwa humu, jina lako, kazi yako na makazi yako kuwa unauza unga, ungefurahi hata kama unauuza kweli??
Mambo mengine jamani, tuyaache yalivyo
Wana Tunduma ni watz wanaojielewa sn pengine kuliko sehemu nyingine yoyote