alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
Nimefurahishwa na maisha ya watu Wa Tunduma Kwa jinsi wanavyokipenda chama chao,nimefika Tunduma kujionea mwenyewe huu mji!
Hakika ukombozi umewaingia watu Wa Tunduma! Wanaishi maisha ya raha Kwa sababu tu ya chama chao cha uhakika!
Enyi vijana wa Lumumba ambao wokovu hamjaupata karibuni Tunduma mjionee maisha yalivyo mazuri