wamburamwita
Member
- Jun 22, 2015
- 31
- 5
Msiisahau tarime mjimbo yote mawili yatachukuliwa na chadema hata selikali za mita tumefanya vizuri
Hata Silinde anajua ni wauza unga na wavuta bangi waliomsaidia kampeni zake, watu wastaarabu walikuwa chini ya asilimia 2
Unalialia sana Zitto kuzomewa Tunduma. Na bado.Umefanya jambo zuri kujifariji. Maana kwa siasa ya mitusi mliyochagua badala ya sera msitegemee kuna mtu atawafariji. Kwa style ya kukosa sera za kuwauzia wananchi katika uchaguzi huu amini usiamini mtaanguka vibaya sana na hamtoamini kilichotokea baadae sana mtagundua kuwa badala ya kutangaza sera za kukijenga chama chenu nyie mlitumia muda mwingi kuhamasishana kuzomea hali itakayopelekea wapiga kura kuwadharau na kuwapa x.
Badirikeni otherwise majimbo mengi yanayowapa kichwa kuwa mnangome yatachukuliwa kilaini
tunduma IPI unayoizungumza?
Ndio maana ikatwa boda ya wajanja si mchezo, huwezi kuwafananisha na wale wa boda za tanga na boda za Lumumba
Kwani Mbunge anayeongoza tunduma kwa sasa anaitwa nani na ni wa Chama gani cha Siasa? naombeni jibu.
Hizo so habari za kweli CHADEMA Tunduma mbona wanapoteana
Utakuwa unazungumzia tunduru badala ya tunduma, ukishafika tunduma mkoa wa mbeya utaona muunganiko wao na chadema wala huhitaji kuambiwa, pale ni zaidi ya arusha
Hata Silinde anajua ni wauza unga na wavuta bangi waliomsaidia kampeni zake, watu wastaarabu walikuwa chini ya asilimia 2
Hata Silinde anajua ni wauza unga na wavuta bangi waliomsaidia kampeni zake, watu wastaarabu walikuwa chini ya asilimia 2
Umefanya jambo zuri kujifariji. Maana kwa siasa ya mitusi mliyochagua badala ya sera msitegemee kuna mtu atawafariji. Kwa style ya kukosa sera za kuwauzia wananchi katika uchaguzi huu amini usiamini mtaanguka vibaya sana na hamtoamini kilichotokea baadae sana mtagundua kuwa badala ya kutangaza sera za kukijenga chama chenu nyie mlitumia muda mwingi kuhamasishana kuzomea hali itakayopelekea wapiga kura kuwadharau na kuwapa x.
Badirikeni otherwise majimbo mengi yanayowapa kichwa kuwa mnangome yatachukuliwa kilaini
Kama una pata hela yako kwa jasho la haki huna sababu ya kuishabikia C.C.M
MTENDAHAKI;
Hii tabia yenu maccm kuwatukana watu mmeileta wapiiiii??? Mnajishushia hadhi hivi hivi tuu. Katibu wako mwenezi kawatukana watu ati walipewa viroba, weye unatukana watu wa Tunduma ati ni wauza unga na wavuta bangi. Ina maanaa unawatuma ma don kupeleka mzigo kuleeee??
Hawatapata nafasi kwani Tunduma wapo wenye akili zao timamu walio amua kumtoa huyu mkoloni wa rangi ya kijani. Hawata tawaliwa tena asilani. Funguka MTENDAHAKI; njoo huku kwenye wokovu kamili. Mh Silinde kakukosea nini hata umtaje huku
Msiisahau tarime mjimbo yote mawili yatachukuliwa na chadema hata selikali za mita tumefanya vizuri
Hizo so habari za kweli CHADEMA Tunduma mbona wanapoteana