Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Karibu Tunduma kama mwanachadema utajihisi upo peponi ila kama mwanaccm utajiona kama mkimbizi.
Mwaka huu ma ccm yatajinyonga
Karibu Tunduma kama mwanachadema utajihisi upo peponi ila kama mwanaccm utajiona kama mkimbizi.
Mr Mark pole saaaaana.
anaitwa Sauti ya simba! anatokea cdm
Atakuwa pandikizi la CCM maana hata hana madhara na hasikiki, ndo kwanza namskia Leo. kweli Wanatunduma naanza kuamini ni wavuta bangi kama hamuwezi hata kufanya Evaluation juu ya kiongozi ambaye mkimchagua atakuwa na impact juu ya mstakabari wa maendeleo yenu, harafu et Tunduma mnajiita wapinzani wa ukweli kumbe mnachagua km washabiki tu. Hakika mnastahili kupewa Elimu juu ya namna ya kuchagua viongoz bora vingine mtaishia kuwa bendera na wazomeaji tu.
maccm hayajitambui mkuuIna maana hao wauza unga walikuwa wanafanya hiyo kazi bila kujulikana na serikali? Au serikali ni dhaifu hadi wauza unga wawe wengi kuliko hao unao waita wastaarabu?
Atakuwa pandikizi la CCM maana hata hana madhara na hasikiki, ndo kwanza namskia Leo. kweli Wanatunduma naanza kuamini ni wavuta bangi kama hamuwezi hata kufanya Evaluation juu ya kiongozi ambaye mkimchagua atakuwa na impact juu ya mstakabari wa maendeleo yenu, harafu et Tunduma mnajiita wapinzani wa ukweli kumbe mnachagua km washabiki tu. Hakika mnastahili kupewa Elimu juu ya namna ya kuchagua viongoz bora vingine mtaishia kuwa bendera na wazomeaji tu.
maccm hayajitambui mkuu

Chadema tunduma ndio kila kitu
pole sana Mkuu,ndiye mbunge Wa milele APA Tunduma
Wewe mbona unajikomba komba kwa cdm?
Bahati mbaya situmii bangi wala viroba so siwezi kujikomba kwa Chama cha Wavuta bangi, we labda jibu hoja ktk tathmini yangu
Wewe ni nani hadi uichagulie cdm kiongozi?
Siwachagulii ila nawashauri kuwa Kuchagua kiongozi mwenye ufanisi kwenu ni haki yenu ya msingi, coz huyo mliyemchagua ambaye hata hana madhara zaidi ya kuwafundisha kuunda vikund vya kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vya siasa
Umefanya jambo zuri kujifariji. Maana kwa siasa ya mitusi mliyochagua badala ya sera msitegemee kuna mtu atawafariji. Kwa style ya kukosa sera za kuwauzia wananchi katika uchaguzi huu amini usiamini mtaanguka vibaya sana na hamtoamini kilichotokea baadae sana mtagundua kuwa badala ya kutangaza sera za kukijenga chama chenu nyie mlitumia muda mwingi kuhamasishana kuzomea hali itakayopelekea wapiga kura kuwadharau na kuwapa x.
Badirikeni otherwise majimbo mengi yanayowapa kichwa kuwa mnangome yatachukuliwa kilaini
Huna hoja yoyote zaidi ya kuweweseka,tangu lini gamba likawashauli cdm?
Likawashauri siyo likawashauli, Umekunywa viroba vingap we bavicha?