Hakika mwisho wake umefika, bila kusaha wanaopewa pombe na nyama za pori na kuitwa kila tarehe moja mwaka mpya kutambikia, pamoja kugangwa nguv za giza, wauulize wamasai pale kwa mchizi edo luwassa ndo taratibu zake kuwapumbaza kwa shibe za cku moja na kuwarubuni akili kwa pombe then anajiita LAIGWANANI wa makachanjanja.
Ndugu zetu maasai shtukeni.