CHADEMA: Tunamtaka Spika Tulia aheshimu Katiba ya JMT kwa kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasio na chama

Hawa chadema hewa kabisa hivi ndiyo agenda ya chama Mambo nyeti ya kitaifa wako kimya Hawa watu bure kabisa bora ccm iendelee kutawala

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile ap
Fanya wewe hayo ya muhimu kwani lazima chadema ikufanyie.

Hao CCM wenyewe sana sana wamekupandishia gharama za maisha umefanya nini kuikabili hiyo hali.

Ndiyo acha watawale nyie si ndiyo mnapewa T shirt na Kofia ili muwapigie kura.
 
Back
Top Bottom