CHADEMA tunahitaji wabunge 133 tu tuunde Serikali yetu!

CHADEMA tunahitaji wabunge 133 tu tuunde Serikali yetu!

Tundu Lissu akiongea jana, alisema kuna majimbo ya uchaguzi jumla 265 kote nchini!

Ili CHADEMA iweze kuunda serikali inabidi kupatikane jumla wabunge wa kuteuliwa 133 tu nchini kote! Hii ni ili aweze kumteua waziri mkuu wake!

Naona hii namba ni ndogo sana kwa kipindi hiki cha siasa. Hakika vijana wa CHADEMA tukiungana vilivyo hawa jamaa tunawamaliza asubuhi na mapema sana! Kumbuka namna wanavyochanganyana kwenye kura za maoni, CHADEMA nasi tuwe makini ili tusitengeneze mianya ya kujichanganya kama wao wanavyodundana!

Haya ndio baadhi ya majimbo ya uhakika ama yenye muelekeo mzuri kwa wapinzani

1. Arusha mjini
2. Arumeru magharibi
3. Arumeru mashariki
4. Monduli
5. Hai
6. Moshi mjini
7. Rombo
8. Iringa mjini
9. Singida mashariki
10. Ubungo
11. Kibamba
12. Mbozi
13. Kawe
14. Karatu
15. Babati mjini
16. Ilemela
17. Nyamagana
18. Bukoba mjini
19. Bunda mjini
20. Simanjiro
21. Serengeti
22. Same magharibi
23. Same mashariki
24. Ukonga
25. Butiama
26. Sumbawanga
27. Temeke
28. Mbulu mjini
29. Tarime mjini
30. Tarime vijijini
31. Geita mjini
32. Mwanga
33. Musoma mjini
34. Musoma vijijini
35. Maswa mashariki
36. Buchosa
37. Kahama mjini
38. Meatu
39. Kishapu
40. Ukerewe
41. Shinyanga mjini
42. Kisesa
43. Ushetu
44. Bariadi
45. Segerea
46. Mbeya mjini
47. Tunduma
48. Kyela
49. Kigamboni
50. Ismani
51. Kongwa
52. Kiteto
53. Mbagala
54. Vwawa
55. Makambako
56. Kondoa mjini
57. Manonge
58. Mbinga mjini
59. Mikumi
60. Moshi vijijini
61. Ilala
62. Kinondoni
63. Igunga
64.
65.
66.
67.
68.
69.
70.
71.
72.
73.
74.
75.
76.
77.
78.
79.
80.
81.
82.
83.
84.
85.
86.
87.
88.
89.
90.
91.
92.
93.
94.
95.
96.
97.
99.
100.
101.
102.
103.
104.
105.
106.
107.
108.
109.
110.
111.
112.
113.
114.
115.

Chadema au ukawa? Mbona mmeanza kujitenga kabla hata hamjapata madaraka? mnawahadaa wenzenu et? ukawa amkeni chadema wameshajitenga!!
 
Asante mkuu ila natoa angalizo kwa viongozi Chadema taifa kuhusu jimbo la Nyamagana kuna hatari ya kulipoteza jimbo hili iwapo siasa za ukabila zinazo enezwa na ccm na mtia nia wao Mabula zitaachwa bila kuzingatiwa kikamilifu ni hatàri sana kuliko mnavyoweza kufikiri (nitaanzisha uzi kuhusu hili muda si mrefu) mpaka kieleweke..
 
Mtoa mada ongezea na majimbo ya dsm maana ni uhakika, ama nenda kabisa kwenye tovuti ya nec chukua majimbo yotr yalete hapa!
 
Kwa hiyo mnaamini wanwoandikisha bvr ni wapiga kura wenu tu ninyi,bado wachanga kisiasa mnaosema mtaunda serikali yenu ukijumlisha na huyo tundu lisu,yaani mmesahau kabisa kama kuna kuumwa,kufa,kubadilika misimamo,mnakazana mtachukua majimbo kirahisi rahisi hivyo,poleni
 
Mwaka huu tukishindwa basi tena mkuu! nitavunjika moyo sana, maana hali ya siasa ni favourable kwetu zaidi kuliko wao!


Hiyo siyo lugha nzuri katika uwanja wa mapambano. Usiwe na negativity mkuu!

Zungumza lugha ya kupandisha morali
 
Ccm mwaka huu lazima iachie majimbo, walichokifanya kwenye bunge la katiba ndicho kinachowasumbua sasa.

Kama wangeacha rasimu ya warioba ijadiliwe bungeni kusingekuwa na kitu kinachoitwa ukawa ambacho ndicho kinaitesa ccm.
 
1. Watu watunze kadi za kupigia kura
2. Watu wahamasishwe kupiga kura kwa wingi.
3. Watu walinde kura zao wakati wote.
4. Mawakala wasiendekeze njaa na kuuza kura kwa magamba.
5. Kila kituo wakala asimamishwe na Ukawa na sio chama husika.
6. Wagombea ubunge na udiwani wawe makini sana kwenye ujazaji wa forms.
7. Huu sio wakati wa CCM wa kushinda kwa mapingamizi. Wagombea wa Ukawa wawe makini sana na ikiwezekana wao ndo washinde kwa mapingamizi.
Tupo nyuma yenu wana Ukawa nchi nzima.
 
chadema wakishinda majimbo yote watakuwa na wabunge 138 bado yatakuwa yamebaki majimbo 127, Je chadema watashinda majimbo yote?
 
Mi nadhani watapata majimbo 033 unaxemaje mkuu
 
chadema wakishinda majimbo yote watakuwa na wabunge 138 bado yatakuwa yamebaki majimbo 127, Je chadema watashinda majimbo yote?

Una maanisha nccr na cuf hawatopata majimbo? hayo 133 ni pamoja na cuf+ nccr
 
1. Watu watunze kadi za kupigia kura
2. Watu wahamasishwe kupiga kura kwa wingi.
3. Watu walinde kura zao wakati wote.
4. Mawakala wasiendekeze njaa na kuuza kura kwa magamba.
5. Kila kituo wakala asimamishwe na ukawa na sio chama husika.
6. Wagombea ubunge na udiwani wawe makini sana kwenye ujazaji wa forms.
7. Huu sio wakati wa ccm wa kushinda kwa mapingamizi. Wagombea wa ukawa wawe makini sana na ikiwezekana wao ndo washinde kwa mapingamizi.
Tupo nyuma yenu wana ukawa nchi nzima.

umenena bonge la point kuliko aliyeleta uzi huu
 
Back
Top Bottom