Ondoa jimbo la mzee mkono nimrod,yule itatuwia vigumu kumngoa
Kama unazungumzia UKAWA basi jumlisha majimbo 30 ya Unguja na Pemba
Mwaka huu tukishindwa basi tena mkuu! nitavunjika moyo sana, maana hali ya siasa ni favourable kwetu zaidi kuliko wao!
Ni ndoto kuunda seriakali mkitanguliza mbele fisadi Lowasa.
Hakuna ushahidi wa huo ufisini so hizo ni fitina tu anapewa mkuu
Hapa tunawataja wa cdm tu bado wa nccr, cuf na nld!