mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,160
- 22,615
Ukiuliza tu kuhusu mwenyekiti unaundiwa zengwe unafutwa na uanachamaKule kwao Mwenyekiti wa milele Haulizwi
Wala kupingwa
kule hakuna chama kuna Wahuni fulani

Nafasi ya Bashite iko wazi acha apige domo anaweza kuipitia sababu kuwa kiongonzi kwenye serikali ya pombe sifa kubwa uwe kichwa dafu na mropokajibila Lowassa Lizabon Hali
Mwenyewe nimekuona hapa nimeshtuka kumbe upo ndugu!!Hahahaha, mkuu motochini sijakuona kitambo. Kumbe umebadilisha Avatar.
Demokrasia ilipaswa kuanza ndani ya NyumbayaoUkiuliza tu kuhusu mwenyekiti unaundiwa zengwe unafutwa na uanachama
Huyu kijana bila fitina hawezi hata kula .Wadau, amani iwe kwenu.
Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Jumapili Maci 12, 2017 baada ya kukamilika vikao vya utendaji vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu. Tunapoelekea kwenye Mkutano huo, zipo dalili kuwa baadhi ya watu hawajafurahia mabadiliko hayo kutokana na sababu binafsi. Maeneo yanayolalamikiwa ni Kuondolewa kwa Hamasa na Chipukizi, Kuondolewa kwa Makatibu Wasaidizi wa Wilaya, Kupungua kwa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu.
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaonekana kujawa na hofu kubwa juu ya hatma yao baada ya mabadiliko hayo kupita. Hata hivyo, ni dhahiri kwamba mabadiliko hayo yanalenga kuboresha mfumo wa chama ili kiwatumikie wananchi zaidi badala kuwatumikia viongozi.
Aiseee kama ndoto vile! Kwa mara ya kwanza Mkutano huu Mkuu umewaweka pamoja mahasimu wa siku nyingi. Edward Lowasa na Benard Membe.Taarifa nilizopata kutoka kwa Jack Gotham, mshenga anayepatanisha Lowasa na Membe zinasema kuwa wawili hao hawafurahii mabadiliko ndani ya CCM. Lowasa anaona kuwa ikiwa mabadiliko hayo yatapita, mfumo wake wa kupata taarifa za siri ndani ya CCM utavurugika. Aidha, Membe kwa upande wake, anaona kuwa mabadiliko hayo yatamzika kisiasa kwani bado anayo ndoto ya kugombea Urais Mwaka 2020.
Hii ni taarifa ya awali na nitaleta detail ikiwa ni pamoja na wale wote wanaoshiriki katika mkakati wa kupinga mabadiliko hayo ya Katiba. Taarifa zao zipo Kiganjani na soon nitakapotua Dodoma, nitatoa orodha ya wanaoshiriki kwenye mkakati huo na jinsi wanavyoshiriki. Bahati nzuri watu wenyewe ni wachache sana tena ni wale wale. Wamekwisha! Wasubiri kuvuliwa nguo ikiwa wataendelea na mkakati huo. Vihela vyenyewe walivyopewa ni kiduchu!
yan huyu baba hata akifa bad kivul chao kitawatafuna akil,, wanawanyima usingizi ila bahat mbaya sana saiv yuko wa pili naye ni LISSU ....kawashika pabaya anawaingiza mkenge na hasara kila sikuBado lowasa anawanyima usingizi
Wadau, amani iwe kwenu.
Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Jumapili Maci 12, 2017 baada ya kukamilika vikao vya utendaji vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu. Tunapoelekea kwenye Mkutano huo, zipo dalili kuwa baadhi ya watu hawajafurahia mabadiliko hayo kutokana na sababu binafsi. Maeneo yanayolalamikiwa ni Kuondolewa kwa Hamasa na Chipukizi, Kuondolewa kwa Makatibu Wasaidizi wa Wilaya, Kupungua kwa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu.
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaonekana kujawa na hofu kubwa juu ya hatma yao baada ya mabadiliko hayo kupita. Hata hivyo, ni dhahiri kwamba mabadiliko hayo yanalenga kuboresha mfumo wa chama ili kiwatumikie wananchi zaidi badala kuwatumikia viongozi.
Aiseee kama ndoto vile! Kwa mara ya kwanza Mkutano huu Mkuu umewaweka pamoja mahasimu wa siku nyingi. Edward Lowasa na Benard Membe.Taarifa nilizopata kutoka kwa Jack Gotham, mshenga anayepatanisha Lowasa na Membe zinasema kuwa wawili hao hawafurahii mabadiliko ndani ya CCM. Lowasa anaona kuwa ikiwa mabadiliko hayo yatapita, mfumo wake wa kupata taarifa za siri ndani ya CCM utavurugika. Aidha, Membe kwa upande wake, anaona kuwa mabadiliko hayo yatamzika kisiasa kwani bado anayo ndoto ya kugombea Urais Mwaka 2020.
Hii ni taarifa ya awali na nitaleta detail ikiwa ni pamoja na wale wote wanaoshiriki katika mkakati wa kupinga mabadiliko hayo ya Katiba. Taarifa zao zipo Kiganjani na soon nitakapotua Dodoma, nitatoa orodha ya wanaoshiriki kwenye mkakati huo na jinsi wanavyoshiriki. Bahati nzuri watu wenyewe ni wachache sana tena ni wale wale. Wamekwisha! Wasubiri kuvuliwa nguo ikiwa wataendelea na mkakati huo. Vihela vyenyewe walivyopewa ni kiduchu!
Huna lolote... Njaa tu inakusumbua. Lowasa anao uwezo mkubwa na wenye hakika wa kupata taarifa hadi serikalini itakuwa kwenye chama ambacho kwa sasa kinaendeshwa bila mfumo?Siwatuhumu bali nawaambia ukweli. Subiri ripoti kamili nitakayotoa kuhusu hao vivurugi.
Hapa umenikosha kada mwenzangu. ..hivi Mwenyekiti wa sasa wa ccm alishindana n.a. nani kwenye kinyanganyiro cha uwenyekiti ccm Taifa?Kule kwao Mwenyekiti wa milele Haulizwi
Wala kupingwa
kule hakuna chama kuna Wahuni fulani
We jamaa siku hizi umekua mtu wa fitna sana.Siwatuhumu bali nawaambia ukweli. Subiri ripoti kamili nitakayotoa kuhusu hao vivurugi.
Mwenyewe nimekuona hapa nimeshtuka kumbe upo ndugu!!
Ulipotea
Basi tuombe mwenyezi mungu azidi kutuweka hapaNipo sana kaka.
Ni tofauti na bwana waleeUzuri wa Ccm kila kitu kinaendeshwa kikatiba
kumpata Kiongozi yeyote
Na inapo fanya mikutano yake hata Kunguni macho ni Dodoma!!
Njoo kwa jirani wazee wa viroba
hahaha
Watu 3wakisha kaa chumbani
waka amua basi full stop.
Mabadiliko Nimuhimu ndani ya Ccm