CHADEMA Tumbo Joto Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma, Lowasa aungana na Membe kupinga mabadiliko

Sio lazima watu wabaki ccm,vyama hivi vya upinzani haviundwi na nguruwe au wamerekani,tutawapima na kuwapa kura hata kama wapo nje ya ccm!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Jumapili Maci 12, 2017 baada ya kukamilika vikao vya utendaji vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu. Tunapoelekea kwenye Mkutano huo, zipo dalili kuwa baadhi ya watu hawajafurahia mabadiliko hayo kutokana na sababu binafsi. Maeneo yanayolalamikiwa ni Kuondolewa kwa Hamasa na Chipukizi, Kuondolewa kwa Makatibu Wasaidizi wa Wilaya, Kupungua kwa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu.

Baadhi ya viongozi wa CCM wanaonekana kujawa na hofu kubwa juu ya hatma yao baada ya mabadiliko hayo kupita. Hata hivyo, ni dhahiri kwamba mabadiliko hayo yanalenga kuboresha mfumo wa chama ili kiwatumikie wananchi zaidi badala kuwatumikia viongozi.

Aiseee kama ndoto vile! Kwa mara ya kwanza Mkutano huu Mkuu umewaweka pamoja mahasimu wa siku nyingi. Edward Lowasa na Benard Membe.Taarifa nilizopata kutoka kwa Jack Gotham, mshenga anayepatanisha Lowasa na Membe zinasema kuwa wawili hao hawafurahii mabadiliko ndani ya CCM. Lowasa anaona kuwa ikiwa mabadiliko hayo yatapita, mfumo wake wa kupata taarifa za siri ndani ya CCM utavurugika. Aidha, Membe kwa upande wake, anaona kuwa mabadiliko hayo yatamzika kisiasa kwani bado anayo ndoto ya kugombea Urais Mwaka 2020.

Hii ni taarifa ya awali na nitaleta detail ikiwa ni pamoja na wale wote wanaoshiriki katika mkakati wa kupinga mabadiliko hayo ya Katiba. Taarifa zao zipo Kiganjani na soon nitakapotua Dodoma, nitatoa orodha ya wanaoshiriki kwenye mkakati huo na jinsi wanavyoshiriki. Bahati nzuri watu wenyewe ni wachache sana tena ni wale wale. Wamekwisha! Wasubiri kuvuliwa nguo ikiwa wataendelea na mkakati huo. Vihela vyenyewe walivyopewa ni kiduchu!
Huyu kijana bila fitina hawezi hata kula .
 
CHADEMA Inawatesa sana , hizi ni dalili za kuchanganyikiwa , eti kila atakayepinga Hoja ataitwa katumwa na CHADEMA .....Wafngeni midomo tu , si mmeshaanza kuona kila mmoja anatangaza kuwa hatagombea uchaguzi ujao?
 
Siwatuhumu bali nawaambia ukweli. Subiri ripoti kamili nitakayotoa kuhusu hao vivurugi.
Huna lolote... Njaa tu inakusumbua. Lowasa anao uwezo mkubwa na wenye hakika wa kupata taarifa hadi serikalini itakuwa kwenye chama ambacho kwa sasa kinaendeshwa bila mfumo?
Punguza majungu..
Ni laana kupata riziki kwa kuwaumiza wengine. Muulize madereva!
 
Hongera vyama vya upinzani.... CCM wanaandaa vikao/mikutano yao, wala sijasikia maneno maneno, mko sawa, mkoa poa tu, na hakuna fitna za kijinga. Subirini nyie muandae vikao au mikutano yenu, mtawasikia watakavyoanza kulisumbua jeshi letu la polisi.....
 
ndugu yangu, tafuta kazi nyingine za kufanya maana uzabi zabina hauta kufaidia ndugu yangu.

Mimi nilikuwa mwanaccm tangu mwaka 77 tulipokuwa vijana wa chama. Lakini ikiwa vijana wa leo wanafitiniana wao kwa wao ndani ya chama basi chama hiki kinaendelekea kufa.

Jana ulikuja na umbea wako kuhusu ndugu nauye, hivi kati ya wewe na Mh nape ni nani Ambaye na Mzee kinana waliozunguka kwa utumishi uliotukuka kukijenga chama hiki?

Hivi leo wewe kijana mchovu kabisa kazi yako kushinda mitandaoni kuchafua wenzako waliokijenga chama hiki kwa uzalendo mkubwa!

Hapa ni lazima Mwenyekiti wenu aangalie utaratibu wa kufukuza watu kama ninyi ndani ya chama hiki.

Chama hakiwezi kuwa na vijana wachafuaji kama ninyi.
 
Uzuri wa Ccm kila kitu kinaendeshwa kikatiba
kumpata Kiongozi yeyote
Na inapo fanya mikutano yake hata Kunguni macho ni Dodoma!!
Njoo kwa jirani wazee wa viroba
hahaha
Watu 3wakisha kaa chumbani
waka amua basi full stop.
Mabadiliko Nimuhimu ndani ya Ccm
Ni tofauti na bwana walee
 
Back
Top Bottom