CHADEMA Tukuyu

sijakupata hapo mkuu. Unareply kwenye healine au?

yaani uchaguzi uliopiti Slaa hakuruhusiwa kuhutubia hapo kwa zengwe lililoundwa, ati uwanja haukuwepo baada ya CCM kudai hawezi kuhutubia kwenye uwanja wao!
 
Wakuu kunawanawake wabaya duniani mwangalieni vizuri josefini yupo kama nini sijui anachekesha kweli.

Hii ni kufuru. Wewe ulijiumba? Angalie usijilaani wewe na ukoo wako wote. Kumbuka Mungu hadhihakiwi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi waziri asiyekuwa na wizara maalum maana yake nini? Ina maana yeye kazi yake ni kupita wizara nyingine kupiga story au?

Anangoja huruma ya rais anakotaka kumtuma kama waziri mwenye dhamana kasafiri au yuko likizo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
yaani uchaguzi uliopiti Slaa hakuruhusiwa kuhutubia hapo kwa zengwe lililoundwa, ati uwanja haukuwepo baada ya CCM kudai hawezi kuhutubia kwenye uwanja wao!

Hapo nadhani tatizo jingine litakuwa ni planners katika chama walitingwa. Tukuyu pamoja na kukosa maeneo ya wazi ya kutosha bado nadhani kama planning ingefanyika vizuri sehemu ya Dr. Slaa kushusha sera ingepatikana. Kuna Uwanua Mkubwa sana kanisani karibu na VETA Gibbons Mwaikambo, kuna Uwanja mkubw kule Cathedral, kuna Uwanja mkubwa Tandale nyuma ya Landmark, Kuna uwanja wa kutosha--ingawa siyo sana--shule ya msingi Bulyaga. Sehemu ingeweza kupatikana tu kama planning ingefanyika ya kutosha. Nachojua ni kwamba Tukuyu wapenzi wa Chadema ni wengi sana.
 
Simiyu,
Bila shaka unatamani sana kuolewa na Rais Mtarajiwa Dr. Slaa, ndiyo maana unasumbuliwa sana na huyu mama kuwa mkewe!
Tatizo ni jinsia yako maana Dr. Hazunguukii mbuyu. Mtasema kila neno mwisho wa siku (2015) ni kupigwa kumi bila na kuishia De Hague kwa hujuma dhidi ya ubinadamu mnazofanya kwa People's Power.
 
Wakuu kunawanawake wabaya duniani mwangalieni vizuri josefini yupo kama nini sijui anachekesha kweli.

Haya maneno ya enzi zile mwaka 47 fikra ndogo unae muona mzuri wewe wengine tunatema mate akipita and vice versa. Kazi ya muumba huwezi iquestion wewe shoga.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…