CHADEMA Tukuyu

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,092
Reaction score
1,077
Mwezi Mei mwaka jana Mke wa Kamanda Mchapakazi Dr. Wilbrod Slaa, Mama Josephine Mushumbuzi alifika Tukuyu. Aliahidi Kumleta Mumewe kuja kuongea na WanaRungwe hapa Tukuyu. Picha ya mwanzo inaonesha siku ya Mkutano ule wa ahadi.




Jana Mbalizi kumezizima Chadema ilipowasha moto wa mageuzi. Sisi wakazi wa Tukuyu tunawaomba msitusahau.
Wasiache kufika Rungwe kupiga mkutano mmoja pale Tukuyu mjini manake huko ni nyumbani kwa mmoja wa waasisi wa CDM marehemu Brown Ngwilulupi.Vijana kwa wazee wanahitaji sana elimu ya uraia na wanajitambua sana isipokuwa mwongozo nd'o unakosekana.

Hata hivyo tunapongeza WanaMbeya Vijijini kwa Mwitikio huu hapa chini wameonesha jana:

View attachment 103490
 
Karibuni sana hapa kwetu Chadema. Naomba kwa leo nipaite cool spot. Karibuni sana....
 
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee
 
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee
hivi kipato kimeongezeka mpaka sh ngap koz bajet ya serikali imeongezeka nadhan saiv itakuwa buku 9
 
Wakuu kunawanawake wabaya duniani mwangalieni vizuri josefini yupo kama nini sijui anachekesha kweli.
 
Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
 
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee

Prof yupi? Yule mgonjwa? Mbona hata ofisini kwenye Wizara isiyo Maalum haonekani!!! Kama ni yule mbona KWESHNEY!!
 
Kati ya waziri wa michezo na huyu mama nani mzuri?

Au kati ya huyu mama na spika wa bunge?

A kati ya huyu mama na waziri aliefungia ile hotel ya nyota tano nimemsahau jina lake...

Ubaguzi wenu wa sura, rangi, kabila, dini, mikoa, ndiyo unawafanya mkimbiwe kila kukicha na hilo jina la simiyu unalidhalikisha tu maana sisi watu wa huko huwa hatukojoi tukiwa tumechutuma kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…