Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
Kuna nyuzi ukizipitia na kuangalia watu walisema nini na nini kinatokea, utakubaliana na mimi Chadema bado sana!.
Pasco
ha ha
unajua mageuzi yanaanza na akili kwanza
ukiwa ndani ya chama chochote kiwe chadema, ccm au ACT
kama mwanachama hana uwezo wa kushauri, kukosoa, kuonya na kusikilizwa, wanachama wa chama hicho hawana tofauti na mbuzi, ng'ombe, nyumbu, au mabata unawasukuma tu na kuwapa moyo
kisha unawajaza molari ya kuwa mwaka huu urais ni wetu, unarudia kauli mara nyingi mpaka wanaamini kabisa kuwa lazima washinde mwaka huo, bila kuangalia chochote kile...na hivi washazoea kuamini kutoka kwenye dini zao za uislamu na ukristo basi kuwaaminisha huku kwenye siasa ni kazi ndogo sana
kisha unawaaminisha kuwa 2020 urais ni wetu, miezi 11 tu baada ya kuwa ulishindwa ulichowaaminisha majuzi
maisha yanaendelea, ruzuku inaongezeka, watoto wao wanatembelea vogue, jeep na VX.....huku akina salary slip, mshana na mchambuzi na nguruvi wanapanda bajaji roho nyeupeeee.
kupenda raha bana