Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Kutetea ni kusema ama kutenda. Kama hawatetei aliwezaje kuwalinda kwa miaka yake yote aliyokuwa madarakani?Aliyepewa bonge la dhahabu hawatetei Acacia lakini virambasi sasa
Kutetea ni kusema ama kutenda. Kama hawatetei aliwezaje kuwalinda kwa miaka yake yote aliyokuwa madarakani?Aliyepewa bonge la dhahabu hawatetei Acacia lakini virambasi sasa
Ramli potoshiKama kuna connection mahali. Mwapachu aweza kuwa alikuwa mbeba mzigo wa pesa za accacia kuwapelekea chadema
Umetonywa na chenge au kikwete himself?Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema na Lowassa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acacia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?
Seal za Acacia mkuu huku mgodini.Navizia nipate funguo nichukue changu kbsa(mche wa dhahabu),kusubiria Noah itachukua mda sanaSeal ni za Acacia badala ya TRA??au mimi ni sielewi?
Huoni tumekatazwa kumtaja unataka utetezi gani tena ama kweli akili ni nywele nawe unazakoAliyepewa bonge la dhahabu hawatetei Acacia lakini virambasi sasa
Hii haihitaji nguvu sana kujua sababu yake...CCM ndiyo mekuwa madarakani kwa miaka yote, na hivyo viongozi mbalimbali ndani ya serikali ya CCM ndio ambao husaini mikataba na pia kuhusika na resources.....Kwa hiyo hilo ni obvious...Kinachoshangaza ni pale CHADEMA wanapokuja na hoja mfilisi kuwa CCM ndio wanaohusika kama chama...CCM ndiyo yenye sera za kupiga vita rushwa sasa kama chama kitahusika vipi na uchafu huo??? Wapinzani wameshindwa hoja katika hili katika suala hili la mchanga wa dhahabu, walikuwa wanapinga juudi za JPM katika suala hiili...baada ya kuona suala hili limekuwa moto waabadili angle ya issue....IT IS TOO LATE!!!!!Waliotajwa kuhusika na "hujuma" ya Acacia karibia wote ni wana CCM, CHADEMA ingefaidikaje? Mbeba mizigo anawezaje kuwa Mwapachu wakati aliyekabidhiwa bonge la dhahabu ndiye aliyewaita watu Malofa na yuko kwenu CCM?
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema na Lowassa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acacia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?