jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Namshukuru ndugu PolePole katibu mwenezi wa CCM kwa kuwa mzalendo,mweledi na sharp katika cheo chake.
Kitendo cha CCM Kupitia PolePole kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais katika kupambana na udanganyifu na wizi wa hata kile kiduchu tuliochokubaliana na wawekezaji katika sekta nyingi na hasa madini.
Hii inampa nguvu zaidi Mh Rais kuendelea kujitoa muhanga yeye binafsi na hadhi yake kisiasa.
Mpaka sasa walimuunga mkono Rais ni wengi sana...
Kwa umuhimu wa pekee ni wafuatao(ingawa sitoweza kuwamaliza wote) :
1-Viongozi wa Kidini wa madhehebu yote makubwa
2-Viongozi waanzilishi wa vyama vya upinzani(ukiondoa chadema) na wapiga kelele wa awali kabisa kuhusu uwekezaji wa kwenye madini..hapa yupo Mrema(mzee wa bonge la dhahabu)Lipumba na Cheyo.
3-Vikosi vyote vya ulinzi na usalama
4-Wabunge wa bunge la JMT wakiongozwa na spika.
5-Wanaharakati mbalimbali wa mitandaoni wakiwemo wasomi wanaotumia vichwa sio matumbo.
6-Wananchi waliochoshwa kwa udanganyifu uliokuwa unafanywa.Tukumbuke ni wananchi wazalendo ndio kwa mara ya kwanza waliogundua kuwa ule mchanga ruliokubaliana kimkataba unaondoka na mzigo wa kutosha!!
Kwa ufupi nimejaribu kuanisha makundi mbalimbali kwa umuhimu wa kipekee ...
Unapoungwa mkono na makundi yote hayo basi ni wazi ushindi lazima uwepo....yaani hii sio tofauti na vita ya kagera.
Sasa nikirudi kwenye hoja ya msingi...niseme kwa ufupi tu...sijasikia tamko la Chadema linaloainisha msimamo wao juu ya ripoti tajwa na sakata husika.
Sijaona andiko la Makene...
Sijamsikia Mashinji na wala sijasikia press conference kama zile tulizozoea..mfano operesheni kata fukua.
Ingawa kwa maoni ya mwanasheria wa Chadema inaelekea wameamua kuchukua upande wa mwekezaji.
Yaani wameamua kumuamini na kuamini taarifa za mwekezaji na wamejitoa vilivyo kumpigania.
Kwangu mimi sioni shida na tuwakaribishe kwa mapambano!
Mwisho wa Siku ni serikali ya JMT na Wananchi wanyonge ndio watakaoshinda.
Ushauri:
Chadema ije na tamko rasmi la kuwaunga mkono acacia ili tuweke hansard sawa!!Tusibwabwaje kwa kujificha kwenye tweets.
George Bush aliwahi kutamka hivi...
Our enemies are innovative and resourceful, and so are we. They never stop thinking about new ways to harm our country and our people, and neither do we.