CHADEMA toeni tamko la kuwaunga mkono ACACIA

wekeni tamko la kuunga mkono acacia tuache kuibiaibia....chagueni upande na sio undumilakuili
Ukweli ni kwamba ccm mmetufikisha hapa kwa unafiki wenu hamutaki kukubali nyie ndio mliopitisha Sheria Na viongozi wenu waliosaini mikataba hiyo Na ata huyu anayesema sasa anaumia alikuwa kwenye kundi hilo wa wabunge wa ccm ndio mlipiga kura za ndio hii laana ya unafiki itawaumbua
 
Eti mtu kukumbusha kwmba msiisahau mikataba tyr mnataka wachukue upande ,upande upi wachukue sasa Wa kanga au Wa kitenge sijaelewa hapo ,yeye alichokfanya amekumbusha pengine hili zoezi liende sambamba na hayo makubaliano amabayo ndio Mkataba baina ya wahusika isiachwe nyuma duh kaaaz kwel kwel ndugu
Twende kazi sasa...wamesikia ushauri wangu.
 
Ukweli ni kwamba ccm mmetufikisha hapa kwa unafiki wenu hamutaki kukubali nyie ndio mliopitisha Sheria Na viongozi wenu waliosaini mikataba hiyo Na ata huyu anayesema sasa anaumia alikuwa kwenye kundi hilo wa wabunge wa ccm ndio mlipiga kura za ndio hii laana ya unafiki itawaumbua
With exception of Sumaye,Makongoro and Lowassa
 
Kweli Ww Jingalao,wabunge Wa Ccm Na Serikali Yao Ya Kifasadi C Ndyo Waliyoingza Haya Majanga?Wakati Wabunge Wa Cdm Wanapigania Bungeni Sual La Mikataba Mibovu Mpaka Zito Akafukuzwa Wao Kwa Uwngi Wao Ndyoooo
Hilo lilishapita, na baadhi ya wabunge hao wamehamia chadema, sasa tunaanza upya kurudisha mali zetu, chadema toeni tamko moja tu, aidha mnawaunga mkono acacia au Serikali basi.
 
Hilo lilishapita, na baadhi ya wabunge hao wamehamia chadema, sasa tunaanza upya kurudisha mali zetu, chadema toeni tamko moja tu, aidha mnawaunga mkono acacia au Serikali basi.
Wameshatoa ...hujamsikia Mashinji leo?
 
Nilimuelewa sana Lema aliposema kuna tofauti ya mwizi Mzungu na mwizi mwafrika kwani Mzungu amekaribishwa ikulu kwa maongezi na wenzangu na mimi akina Karamagi Ngeleja na wengine yaan wezi wa kiafrika kuhojiwa na polisi na ikibainika bas mahakamani ila wale madigala wazungu haoo Ikulu double standard hadi kwenye kushughulika na wezi?
 
Leo wenye udhu wa kulalamikia wizi wa madini yetu sio tena Lissu ,Zitto,CDM,NCCR bali siku hizi wamekuwa Polepole Cheyo,Lipumba na CCM
Waliosema kati yetu 1/4 ni machizi hawakukosea

NB; Utafiti wa Twaweza "wengi wanaomuunga mkono Magufuli hawana elimu"
 
Haisaidii kuunga mkono wala mguu serikali ya ccm ilikabiddhi madini kwa wazungu kwa hiari(legally .hao wazungu hawatatoa hela wa trillioni hata moja.idiots
 
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema na Lowassa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acacia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?

11229822_1620956274835212_8703312735249360610_n.jpg
 
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema, na Lowasa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acasia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?

Hiyo mimba ukijifungua salama mtoto mwite Chadema.
 
Kama Mwapachu alihama CCM kwenda chadema, na Lowasa alikuwa anasema anapewa michango na marafiki zake, je, hakuna uwezekano kwamba Acasia walichangia kampeni za chadema, na sasa wanachokifanya ni kulipa fadhila?
Kama kuna connection mahali. Mwapachu aweza kuwa alikuwa mbeba mzigo wa pesa za accacia kuwapelekea chadema
 
It's imposible to get a no for an answer to this question.
 
Kama kuna connection mahali. Mwapachu aweza kuwa alikuwa mbeba mzigo wa pesa za accacia kuwapelekea chadema
Waliotajwa kuhusika na "hujuma" ya Acacia karibia wote ni wana CCM, CHADEMA ingefaidikaje? Mbeba mizigo anawezaje kuwa Mwapachu wakati aliyekabidhiwa bonge la dhahabu ndiye aliyewaita watu Malofa na yuko kwenu CCM?
 
Aliyepewa bonge la dhahabu hawatetei Acacia lakini virambasi sasa
 
Back
Top Bottom