CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari na umma

CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari na umma

kwani mwanasheria mkuu wa chama sio mjumbe wa kamati kuu? kwa nini nafasi ya lissu asingechukua mbunge mwingine?
 
Chadema inachafuliwa na warafi wawili tuu .....wakitoka hao chadema ya dr silaaa itarudi
 
Umesahau?
Nimesahau nin?

Watanzania walio wengi huwa tukikosa point huwa tukuwa na personal issue attack ili kajarbu kuterolize malengo ya kile kilichotrajiwa ..na kwa hili mmekosa point ndio mana mnaleta mambo ya dini.

Mbona cuf karbu waislamu wote lakini lakn je utakuja hapa unatetea point kuwa ati cuf ni karbu viongoz wote wa juu waislam HATA MIM NYAKUONA WE PWAGU kwani hujui maana ya siasa na hujui lengo la vyama*!
 
Chadema in wabadhirifu tu wa ruzuku.kuwapeleka hap watu ni sawa na kuwapeleka picnic.
Hawana ushawashi,wamechuja na hawataungwa mkono na wabunge wa chadema
Labda kama ni jitihada tu za kumueneza lowassa,vinginevyo watatu hao watakua wamelimiss bunge,wanakwenda kupiga porojo
 
CCMijizi ikiona hiyo Squad inapata kichefu chefu na Kiwewe
 
Nimesahau nin?

Watanzania walio wengi huwa tukikosa point huwa tukuwa na personal issue attack ili kajarbu kuterolize malengo ya kile kilichotrajiwa ..na kwa hili mmekosa point ndio mana mnaleta mambo ya dini.

Mbona cuf karbu waislamu wote lakini lakn je utakuja hapa unatetea point kuwa ati cuf ni karbu viongoz wote wa juu waislam HATA MIM NYAKUONA WE PWAGU kwani hujui maana ya siasa na hujui lengo la vyama*!
 
Nilifikiri Bulaya angesubiri matokeo ya kesi kwanza

Kwa nini asubiri matokeo? Hajasimamishwa ubunge kwa hiyo aende awasaidie hao wazee kimawazo kwani yeye anayo fursa ya kuzungumza bungeni wakati wazee wakipumzika hotelini. Pia hiyo posho ya vikao ni muhimu na usimzibie riziki.
 
Zamani ilikuwa Chadema wakikutana kutoa Misimamo Yao Nchi ilikuwa inasimama kwa Muda.

Meza kuu ukimuona Mh. Mbowe, Dr Slaa, Zitto Kabwe na John Mnyika unajua kabisa Kazi ipo, siku hizi unaanza kutoa kicheko cha kebehi kabisa kabla ya kuanza kuisoma.

Siku hizi Wakichaguliwa Wabunge bora zaid wa kuwakilisha wenzao Lema na Sugu wanawazidi Halima Mdee na John Mnyika.
Kwel kila msimu na mbu wake!
Umesahau swala la mchakamchaka barabarani?
 
Kumbe Edward Lowassa ni mjumbe Mwandamizi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kama alivyo mzee Ntagazwa!
Lakini Mbowe ndiyo uwa anamfungilia mlango itifaki imebadilika baada ya Lowassa kuja Chadema.
 
Zamani ilikuwa Chadema wakikutana kutoa Misimamo Yao Nchi ilikuwa inasimama kwa Muda.

Meza kuu ukimuona Mh. Mbowe, Dr Slaa, Zitto Kabwe na John Mnyika unajua kabisa Kazi ipo, siku hizi unaanza kutoa kicheko cha kebehi kabisa kabla ya kuanza kuisoma.

Siku hizi Wakichaguliwa Wabunge bora zaid wa kuwakilisha wenzao Lema na Sugu wanawazidi Halima Mdee na John Mnyika.
Kwel kila msimu na mbu wake!
Mnyika na Mdee wapo kama hawapo!! Wananyakua nyakua siku ziende. Nafsi zao zinawasuta na wameamua kuzitii nafsi zao wasije wakageuka jiwe la chumvi.
 
Lakini Mbowe ndiyi uwa anamfungilia mlango itifaki imebadilika baada ya Lowassa kuja Chadema.
Kwa kuws wote ni waandamizi ina maana hata Ntagazwa hufunguliwa mlango na Mwenyekiti kwa kuuheshimu uzee na uandamizi wake?
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
....
3. Mh. Edward Lowassa
4. Mh. Frederick Sumaye
5. Mh. Arcado Ntagazwa

Imetolewa leo Jumapili, Oktoba 30, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA

CHADEMA miaka yote ikiwa Chama ch Upinzani bado haijajenga vijana wa kuiwakilisha kasoro hao wazee tena mamluki kwa kutemwa CCM!

YETU MACHO NA MASIKIO KWA FAIDA UTAYOIPATIA CHADEMA
 
mwananchi.PNG
mwananchi 1.PNG


Chanzo: Mwananchi
 
Back
Top Bottom