Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Mungu anakuwa mbali kwa miaka 50 na kikundi ambacho ni chimbuko la ufisadiMungu hawezi kubariki kikundi cha mafisadi.
Mungu anakuwa mbali kwa miaka 50 na kikundi ambacho ni chimbuko la ufisadiMungu hawezi kubariki kikundi cha mafisadi.
Mungu ifute chadema maana matendo yao ni ya vuruguMungu ibariki Chadema .
Kwa cdm wao niuaduiMkuu upinzani sio uadui
Ndo maana mnawanyang'a mashamba?Kwa cdm wao niuadui
Visiwani kuna chadema kakudanganya nani!!?..na Sie huku wa visiwani mtusemee pia..
basi ccm ndio itakuwa haina kabisaKwani chademu wana wabunge zaidi ya hao bungeni?
Si yule naibu katibu au?Visiwani kuna chadema kakudanganya nani!!?
mnyika mdee tayari wako kwenye kamati kuuSiku hizi Wakichaguliwa Wabunge bora zaid wa kuwakilisha wenzao Lema na Sugu wanawazidi Halima Mdee na John Mnyi
Utaratibu na sheria ndio vinafuatwaNdo maana mnawanyang'a mashamba?
mnyika mdee tayari wako kwenye kamati kuu
Hahaha pole nduguSi yule naibu katibu au?
Lissu huyu aliechaguliwa na Lissu wa Kamati kuu yupi ni Doto na yupi ni kulwa Kama Mnyika na Mdee hawajachaguliwa kwa kuwa wapo Kamati kuu?
Basi huo utaratibu usiangalie tu wamiliki wa mashamba ambao ni wapinzani na mziangalie na sura za chama chetu cha kijani mbona wapo wengi tuUtaratibu na sheria ndio vinafuatwa
Hakuna kuangalia sura ya mtu
On a very serious note, hivi chadema hawana NEW BLOOD??? hawa wamechokwa, sioni wakikipeleka chama mbele, wana reflection ya unafiki.Hongera sana Chadema kwenye uchaguzi huo nawaona makamanda wa nguvu hapo Lema na Tundu Lissu ✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
Huruma kweli! Eti Sumaye na Lowassa watumwe kupigania muswada wa habari unaodaiwa kuwa kandamizi? Hivi mnawafanya Watanzania wote kuwa mazezeta??? Hata issue ya Katiba Mpya Lowassa na Sumaye ndio walitengeneza!! Leo watatuambia kwamba haifai??? Siasa kweli ni unafiki!!!!!CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.14 (g), Wabunge wa CHADEMA ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamefanya uchaguzi wa wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama, kuwakilisha kundi la wabunge.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, Oktoba 30, mwaka huu, mjini Dodoma, wafuatao wamechaguliwa katika nafasi hizo;
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya
5. Mariam Salum Msabaha
Aidha, tunatoa taarifa kwa umma kuwa kutokana na Serikali kuamua kupuuza maoni ya wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu kuongeza muda wa kujadili na kuboresha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari, ambao iwapo utaachwa na kupitishwa kama ulivyo unalenga kutunga sheria hatari zaidi dhidi ya vyombo vya habari, haki ya wananchi ya kupata taarifa na hata uhuru wa kutoa maoni.
Kamati Kuu ya Chama katika kikao chake cha kawaida kilichoketi Oktoba 22-23, Jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine, iliazimia kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.16(p) kutuma ujumbe wa baadhi ya wajumbe waandamizi wa Kamati Kuu kwenda mjini Dodoma kukutana na Wabunge wa CHADEMA, ili kujadiliana na kutoa maelekezo ya Chama kuhusu muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu.
Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
1. Prof. Abdallah Safari (Makamu Mwenyekiti wa Chama Tangayika)
2. Prof. Mwesiga Baregu
3. Mh. Edward Lowassa
4. Mh. Frederick Sumaye
5. Mh. Arcado Ntagazwa
Imetolewa leo Jumapili, Oktoba 30, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Mnyika anaingia kama naibu km na mdee anaingia kama mwenyekiti bawacha,hujui piga kimyaLissu huyu aliechaguliwa na Lissu wa Kamati kuu yupi ni Doto na yupi ni kulwa Kama Mnyika na Mdee hawajachaguliwa kwa kuwa wapo Kamati kuu?