laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
Wengine hapo walitakiwa wapelekwe Milembe Hospital sio Kamati Kuu
Mda wa kubet huu kijana nenda kwenye jukwaa lenuWengine hapo walitakiwa wapelekwe Milembe Hospital sio Kamati Kuu
Kwani mume wako bado yupo mirembe anatibiwa?Wengine hapo walitakiwa wapelekwe Milembe Hospital sio Kamati Kuu
Hivi ile tabia ya mkeo kutembea na marafiki zako ameacha? naskia anadai ati ana jini mahaba! mpeleke milembe japo mwezi katabia hako katakoma!Wengine hapo walitakiwa wapelekwe Milembe Hospital sio Kamati Kuu
HIVI CHADEMA WATAKUWA NA CHA KWAO LINI MAANA MAMBO MENGI WANAIGA TU CCM NDO MAANA MZEE MWINYI ALIWAITA CCM B NA KAMA YANGA NA TOTO
Kwani lazima kuwa na ofisi ya kumiliki badala ya kujenga?! Ofisi ya kupanga tu chama kinawatoa kamasi kama kuwa na jengo ndio chama bora basi ombeni chadema wasiwe na ofisi kabisa msije sambaratishwa.wambie, waweke ajenda ya kujenga ofisi. kama shida ni kiwanja, Sumaye ana mashamba hadi mengine yanavamiwa na wananchi, awape moja mjenge ofisi
Yaani ww unafikiri bavicha tu nuda wote,au wanakutoa jasho nini,unawawaza kila sekunde?Usichanganye mada huu uzi ni wa Chadema Magufuli kaingiaje? Bavicha bana
Naona unatafuta bwana kwa nguvu.Yaani ww unafikiri bavicha tu nuda wote,au wanakutoa jasho nini,unawawaza kila sekunde?
Usiogope uje nikutifue dada!..Naona unatafuta bwana kwa nguvu.