Mnyika anaingia kama naibu km na mdee anaingia kama mwenyekiti bawacha,hujui piga kimya
Tundu Lissu nae anaingia Kamati kuu Kama Mwanasheria Mkuu wa Chama lakini Leo kachaguliwa pia kuwa Mwakilishi, tafadhali naomba ufafanuzi
Mnyika anaingia kama naibu km na mdee anaingia kama mwenyekiti bawacha,hujui piga kimya
kamshauri kwanza mwenyekiti wenu wa chamaOn a very serious note, hivi chadema hawana NEW BLOOD??? hawa wamechokwa, sioni wakikipeleka chama mbele, wana reflection ya unafiki.
Tengenezeni vijana wapya, ktk hiyo bunch ya wabunge wenu inueni wengine ambao ni vichwa!!
Silinde anajitahidi kidogo ila mnampoteza sana!
CHADEMA .........kuhusu muswada (Huduma za Vyombo vya Habari) huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu.
Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
1. Prof. Abdallah Safari (Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanganyika)
CHADEMA
Ktk wooooote hao muislamu mmoja tu, duh! Ina maana angalau kwa wabunge hamna wabunge waislamu wenye kuweza kuwakilisha??CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.14 (g), Wabunge wa CHADEMA ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamefanya uchaguzi wa wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama, kuwakilisha kundi la wabunge.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, Oktoba 30, mwaka huu, mjini Dodoma, wafuatao wamechaguliwa katika nafasi hizo;
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya
5. Mariam Salum Msabaha
Aidha, tunatoa taarifa kwa umma kuwa kutokana na Serikali kuamua kupuuza maoni ya wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu kuongeza muda wa kujadili na kuboresha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari, ambao iwapo utaachwa na kupitishwa kama ulivyo unalenga kutunga sheria hatari zaidi dhidi ya vyombo vya habari, haki ya wananchi ya kupata taarifa na hata uhuru wa kutoa maoni.
Kamati Kuu ya Chama katika kikao chake cha kawaida kilichoketi Oktoba 22-23, Jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine, iliazimia kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.16(p) kutuma ujumbe wa baadhi ya wajumbe waandamizi wa Kamati Kuu kwenda mjini Dodoma kukutana na Wabunge wa CHADEMA, ili kujadiliana na kutoa maelekezo ya Chama kuhusu muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu.
Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
1. Prof. Abdallah Safari (Makamu Mwenyekiti wa Chama Tangayika)
2. Prof. Mwesiga Baregu
3. Mh. Edward Lowassa
4. Mh. Frederick Sumaye
5. Mh. Arcado Ntagazwa
Imetolewa leo Jumapili, Oktoba 30, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Mbona kwenye timu ya taifa huwa mnajazana halafu hatuhojiChadema kwa udini hamjambo mwislamu ni mmoja tu kwenye mlioteua
Mbona naona wadini yetu watupu tupu daah!
Kwanini? Yeye ni Mbunge halali until the court says otherwise..na maisha yanaendelea until then.Nilifikiri Bulaya angesubiri matokeo ya kesi kwanza
Msimchanganye magufuli muacheni afanye kazi sio lazima akiteua muangalie kateua wadini gani.ndio maana nchi haiendelei kwa ujinga wenu wa kuwaza udini tuWagalatia watupu nakumbuka wakati wa JK kila akiteua mtu wanasema udini lakini wao wanaona wanaonewa uwa najiuliza sana hivi Chadema na wafuasi wao Waislam waliwakosea nini.
Mkuu fikra ya mtu haijifichi hata hivyo wamejitahidi, lakini wangefurahi zaidi kama wajumbe wote 10 wangetoka kaskazini.Wagalatia watupu nakumbuka wakati wa JK kila akiteua mtu wanasema udini lakini wao wanaona wanaonewa uwa najiuliza sana hivi Chadema na wafuasi wao Waislam waliwakosea nini.
Usichanganye mada huu uzi ni wa Chadema Magufuli kaingiaje? Bavicha banaMsimchanganye magufuli muacheni afanye kazi sio lazima akiteua muangalie kateua wadini gani.ndio maana nchi haiendelei kwa ujinga wenu wa kuwaza udini tu
huwezi tenda kosa kisa MTU mwingine katenda, udini ni udini tu haijalishi anaufanya Mtei au naniHayo maneno ulikuwa wapi kumjibu Mtei? Unakumbuka maoni yake kwenye wajumbe wa katiba alivyokuwa analalamika Waislam wengi wao wachache.
Kama tukijikita kwenye UDINI upande wa Pili pia unaongoza kutumbua WAISILAM wakati pia waliteuliwa wachache mno kwenye sehemu mbalimbali.Hebu acha hiyo mara mojaChadema kwa udini hamjambo mwislamu ni mmoja tu kwenye mlioteua
Sasa ulikuwa wapi kumpa ushauri Mtei?huwezi tenda kosa kisa MTU mwingine katenda, udini ni udini tu haijalishi anaufanya Mtei au nani
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.14 (g), Wabunge wa CHADEMA ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamefanya uchaguzi wa wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama, kuwakilisha kundi la wabunge.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, Oktoba 30, mwaka huu, mjini Dodoma, wafuatao wamechaguliwa katika nafasi hizo;
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya
5. Mariam Salum Msabaha
Aidha, tunatoa taarifa kwa umma kuwa kutokana na Serikali kuamua kupuuza maoni ya wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu kuongeza muda wa kujadili na kuboresha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari, ambao iwapo utaachwa na kupitishwa kama ulivyo unalenga kutunga sheria hatari zaidi dhidi ya vyombo vya habari, haki ya wananchi ya kupata taarifa na hata uhuru wa kutoa maoni.
Kumbe Edward Lowassa ni mjumbe Mwandamizi wa Kamati Kuu ya CHADEMA kama alivyo mzee Ntagazwa!CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.14 (g), Wabunge wa CHADEMA ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamefanya uchaguzi wa wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama, kuwakilisha kundi la wabunge.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, Oktoba 30, mwaka huu, mjini Dodoma, wafuatao wamechaguliwa katika nafasi hizo;
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya
5. Mariam Salum Msabaha
Aidha, tunatoa taarifa kwa umma kuwa kutokana na Serikali kuamua kupuuza maoni ya wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu kuongeza muda wa kujadili na kuboresha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari, ambao iwapo utaachwa na kupitishwa kama ulivyo unalenga kutunga sheria hatari zaidi dhidi ya vyombo vya habari, haki ya wananchi ya kupata taarifa na hata uhuru wa kutoa maoni.
Kamati Kuu ya Chama katika kikao chake cha kawaida kilichoketi Oktoba 22-23, Jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine, iliazimia kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.16(p) kutuma ujumbe wa baadhi ya wajumbe waandamizi wa Kamati Kuu kwenda mjini Dodoma kukutana na Wabunge wa CHADEMA, ili kujadiliana na kutoa maelekezo ya Chama kuhusu muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu.
Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.14 (g), Wabunge wa CHADEMA ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamefanya uchaguzi wa wajumbe 5 wa Kamati Kuu ya Chama, kuwakilisha kundi la wabunge.
Katika Uchaguzi huo uliofanyika Jumapili, Oktoba 30, mwaka huu, mjini Dodoma, wafuatao wamechaguliwa katika nafasi hizo;
1. Tundu Antipas Lissu
2. Godblesss Jonathan Lema
3. Joseph Osmund Mbilinyi
4. Ester Amos Bulaya
5. Mariam Salum Msabaha
Aidha, tunatoa taarifa kwa umma kuwa kutokana na Serikali kuamua kupuuza maoni ya wadau na wananchi kwa ujumla kuhusu kuongeza muda wa kujadili na kuboresha Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari, ambao iwapo utaachwa na kupitishwa kama ulivyo unalenga kutunga sheria hatari zaidi dhidi ya vyombo vya habari, haki ya wananchi ya kupata taarifa na hata uhuru wa kutoa maoni.
Kamati Kuu ya Chama katika kikao chake cha kawaida kilichoketi Oktoba 22-23, Jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine, iliazimia kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 7.7.16(p) kutuma ujumbe wa baadhi ya wajumbe waandamizi wa Kamati Kuu kwenda mjini Dodoma kukutana na Wabunge wa CHADEMA, ili kujadiliana na kutoa maelekezo ya Chama kuhusu muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa kwenye Mkutano wa Bunge unaoanza Jumanne, Novemba 1, mwaka huu.
Wajumbe walioteuliwa kuonana na wabunge ni;
1. Prof. Abdallah Safari (Makamu Mwenyekiti wa Chama Tangayika)
2. Prof. Mwesiga Baregu
3. Mh. Edward Lowassa
4. Mh. Frederick Sumaye
5. Mh. Arcado Ntagazwa
Imetolewa leo Jumapili, Oktoba 30, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Imetolewa leo Jumapili, Oktoba 30, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Ifike hatua hata yule mzee nae aone aibu sasaNilifikiri Bulaya angesubiri matokeo ya kesi kwanza
Ccm ni wapi imejenga ofisi?wambie, waweke ajenda ya kujenga ofisi. kama shida ni kiwanja, Sumaye ana mashamba hadi mengine yanavamiwa na wananchi, awape moja mjenge ofisi