chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
Karibu sehemu zote jimbo la sumbawanga mjini na jimbo la kwela(sumbawanga vijijini) hawana mpinzani yoyote
karibu sehemu zote jimbo la sumbawanga mjini na jimbo la kwela(sumbawanga vijijini) hawana mpinzani yoyote
Dar CCM itapata mauaji ambayo tangu chama hicho kuhasisiwa hayajawahi kutokea. Watu Dar wamehamasika sana tofauti na siku za nyuma...Habari ya mjini ni UKAWA
Dar CCM itapata mauaji ambayo tangu chama hicho kuhasisiwa hayajawahi kutokea. Watu Dar wamehamasika sana tofauti na siku za nyuma...Habari ya mjini ni UKAWA