Chadema Sumbawanga yatosha

Hizi habari ndizo nazozipenda kwa sasa,hata mi nimeona ITV hii habari jamaa alikuwa anaeleza hiki kitu.Safi sana wanamabadiliko hebu ngoja niangalie salio langu japo niichangie tena Chadema inafanya kazi nzuri.
 
Dar CCM itapata mauaji ambayo tangu chama hicho kuhasisiwa hayajawahi kutokea. Watu Dar wamehamasika sana tofauti na siku za nyuma...Habari ya mjini ni UKAWA
 
Dar CCM itapata mauaji ambayo tangu chama hicho kuhasisiwa hayajawahi kutokea. Watu Dar wamehamasika sana tofauti na siku za nyuma...Habari ya mjini ni UKAWA

Ndugulile na Zungu wana ka unafuu kakupona kwa wabunge wa CCM Dar the rest wasijisumbue kupoteza pesa zao
 
of coz iz true,,,mimi pia ni mkaz wa sumbawanga mjin,,,chadema ndio habr ya mjin,,,kuna kambunge ka sisiem kwa mamlaka ya mahakama toka jimbo la sumbawanga ,,kaliishia form two ,,,hakajui hTa kuongea ila ni kabaya kwa madem kanaitwa aeshi hilary,,,,kwanza sidhan kama kanafahamika kwenye siasa za hapa bongo,,,,in other name tunaweza kukaita political robort
 
Dar CCM itapata mauaji ambayo tangu chama hicho kuhasisiwa hayajawahi kutokea. Watu Dar wamehamasika sana tofauti na siku za nyuma...Habari ya mjini ni UKAWA

Dar ndo watauawa kabisa, yaani wasipoteze muda kufanya kampeni kabisaa. Kwa ujumla wakajaribu vijijini, miki mikubwa wana kazi.
 
Chadema yatosha jamani Sumbawanga kesho naanza safari kurudi Dar baada ya kazi kukamilika huku niwahi kupiga kura nimejiandikisha kata ya saranga kimara temboni nako ni shida niliacha kamanda Asha kaweka pingamizi kwa magamba na imepitaaa, cdm ni shidaa
 
Back
Top Bottom