hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,282
- 8,603
Uchaguzi huru na WA haki ni Hadi chama CHAKO kishinde?
Hapana chama chochote kinakuwa na uwezo wa kushinda
Na nyie hamtaki because mnajua what will happen
Uchaguzi huru na WA haki ni Hadi chama CHAKO kishinde?
umeshashiba kande zako umeamua kuja kunya jfCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
ZEZETA ANAPOJARIBU KULAMBA MOTO!CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
HAwajielewi hao,wao wanajua chama cha upinzani ni kutukana na kashifa kwa Serekali.Wenzao wanatoa misaada kwa wananchi,kama kupeleka madktari wa bure,wa macho,wa kansa,na pia kuwasaidia wananchi wenye matatizo ya Afya,elimu,makazi nk.Uchaguzi huru na WA haki ni Hadi chama CHAKO kishinde?
Hiki ni chama kikuu cha matusiumeshashiba kande zako umeamua kuja kunya jf
Chama kikuu cha matusiShenzi kwelikweli
Wapi tunajigamba, wanaopambania kuwa chama kikuu cha upinzani ndio wanapaswa wajigambe. Kuwa na viongozi wenye dira ni kukubali kuburuzwa na viongozi majizi wa ccm.Msijigambe .CHAUMMA 2 CHADEMA 0.Mmekosa viongozi wenye dira
nyie makondoo mama yenu kajiteua kugombea nafasi ya urais kibabe mmeufyata na makende yenu mnaangaika na chedema ambayo haina mpango na uchaguziUchaguzi huru na WA haki ni Hadi chama CHAKO kishinde?
Unabweka kutokea wapi ww 🐕CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kabisa, kama kilivyo chama tawala cha majizi.Hiki ni chama kikuu cha matusi
Sijawahi kumkumbuka dhalimu magu, na hapa nilipo naomba mzoga wake uongozewe kuni huko jehanamu.Utamkumbuka shujaa wa Afrika ambae ulikuwa ukimuita dhalimu
Weka online pollCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kuzuia uchaguzi tutawafurusha.Acheni chadema wawaambie watu wao kutoshiriki uchaguzi
Na nyie waambieni watu wenu wakashiriki uchaguzi simple kabisa
Mimi pia nilitaka kuuliza swali kama hilo, ngoja niulize jingine "kwani ukubwa wa chama ni wingi wa wanachama au kuwa na wabunge?"Kwa Hiki Ulichokiandika Hapa, Nikisema Hauna Akili Nitakua Nimekosea?
Chama kikuu ni chaumaCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Unateseka kutokea wap? Tulia dawa iwaingie no Reforms No Elections imewashika pabaya shenzi zenuCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Tunapambana na chama kinachotaka kuleta vurugu kwa wengine kwa kuzuia uchaguziMnachokosea ni kila mara kuitamka CHADEMA badala ya kupambana na hali zenu
Chadema ni chama cha Wananchi ndio maana serikali inatumia nguvu kubwa pamoja na kununua chauma ili kuizima chadema lakini haitawezekanaCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi