Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
- Thread starter
- #41
2025Chama kikuu ni chauma
2025Chama kikuu ni chauma
Unaongea ukiwa umeishiwa kabisa AKILI TIMAMU,hv kati ya CCM na CHADEMA nani muoga kwa Akili yako.Weka akiba ya maneno siku inakuja.CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kazi za chama na kukubalika kwake kwa watanzania wote ndio kunatoa tafsiri ya chama ni cha aina gani na sio maneno ya mjinga mmoja na nusu.CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Kuzuia uchaguzi tutawafurusha.
Watoto wa Iddi Amina mnahangaika sanaCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Watoto wa Adolf Hilter mnahangaika sanaWatoto wa Iddi Amina mnahangaika sana
CCM IMEFUGA MIZUKULE MINGI SANA. TAZAMA ZUKULE HILI. Hao mnaowaita siyo chama kikuu ndiyo mnaowauwa kila siku. Mbona amuwauwi hao CHAUMA?.CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi
Mleta mada ni MSUKULE wa ccm.awezi kukuelewa.Sisi wana CCM tujifunze kutokujitoa akili. Tabia za aina hii ndizo zinatufanya tuonekane vituko. Hapa Tanzania bara ushindani wa kisiasa ni baina ya chama chetu CCM na CHADEMA full stop
mkuu unataka kweli nikutukane au?Chama kikuu cha matusi
Kunguni nyingine ya ccm hii hapaCHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu tutawafurusha kama mapaka jizi