Chadema Singida yapata mjengo wao

Siku ukisikia Moven pick inapandishwa bendera ya chadema baada ya kubadilika na kuwa makao makuu ya chama usimlilie mtu , Style inayoenda nayo chadema kwa sasa ni zaidi ya hatari .
Ha ha ha kuota kunaruhusiwa
 
Eeeenh, Erythro bhwanaah!

Haya, tutasubiri mtakapokuwa tayari, lakini dalili sio nzuri sana kwenu.

Elewa, hatuwatakii mabaya, tunawaonea huruma tu mnavyozungushwa kama pia siku hizi bila ya majibu yoyote.
Huenda masharti ya mbinu hizo mpya ni kugeuza shavu la pili, au sio? Kwa kweli mmeonewa sana safari hii!

Basi, na tusiwaharakishe na harakati zenu hizo za kininja.
 
Kuiteketeza ccm jukwaani kunahitaji siku 7 tu , angalia jinsi Magufuli alivyoishiwa pumzi mbeya , ziara ya siku 8 akawa hana hata cha kueleza akabaki na maigizo , mara mama kadhulumiwa na vodacom Geita eti kamfuata Rais Mbarali !
 
Weka na picha za ndani mkubwa tuone hilo chopa!!
 
Kuna mijinga ilifikiri CDM itakufa baada ya ile biashara ya waziwazi ya madiwani.

CDM kuingia bure kutoka bure!
Bravo chama kubwa!! Pamoja saaana.
 
Umoja wetu ushindi wetu
Kuna mijinga ilifikiri CDM itakufa baada ya ile biashara ya waziwazi ya madiwani.

CDM kuingia bure kutoka bure!
Bravo chama kubwa!! Pamoja saaana.
 
Kuiteketeza ccm jukwaani kunahitaji siku 7 tu , angalia jinsi Magufuli alivyoishiwa pumzi mbeya , ziara ya siku 8 akawa hana hata cha kueleza akabaki na maigizo , mara mama kadhulumiwa na vodacom Geita eti kamfuata Rais Mbarali !
Siwezi kabisa kukubishia kwa hili, kwa sababu ni kweli tupu unayosema na sote tunaelewa hivyo, haqta CCM wenyewe wanajua ukweli huo.
Lakini sote, pamoja na wewe tunaelewa tunakoelekea kama taifa. Hakuna tena cha hiari/haki. Mtihani mgumu upo hapo.
Iwapo ubunge tu watu wanaondolewa roho (Akwilina), na maskini akina Mbowe na wenzake wanafanyiwa mizwengwe yote ile hadi kubambikiziwa 'uhaini'; sasa sijui matumaini tuyatoe wapi? Mbinu zita'solve' haya? Sitaki unieleze na kutoa siri, lakini ukweli rahisi ni huo. Nataka uujue sote kungali mapema, tusijetukaanza tena wakati huo kutoa visababu, kumbe ukweli ulijulikana toka zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…