OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,701
Wanachama na makamanda wa CHADEMA mkoa wa Simiyu leo wamechangia damu katika hospitali ya mkoa wa Simiyu.
Wakiongozwa na Mbunge wa Viti maalum Mh. Masaba wamezungumzia kuguswa na upungufu wa akiba ya damu katika hospitali zetu
Mh.Masaba akiongea na ITV amehamasisha Watanzania kuwa na moyo wa kujitolea damu ili kuokoa maisha ya watanzania wenzao.
Pamoja na mchango wa damu Kamanda Masaba amechangia viti 30 vya wagonjwa na mashuka 80
Hongereni CHADEMA Simiyu kwa uzalendo