CHADEMA Simiyu wachangia damu hospitali ya mkoa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,176
103,655
Wanachama na makamanda wa CHADEMA mkoa wa Simiyu leo wamechangia damu katika hospitali ya mkoa wa Simiyu.

Wakiongozwa na Mbunge wa Viti maalum Mh. Masaba wamezungumzia kuguswa na upungufu wa akiba ya damu katika hospitali zetu

Mh.Masaba akiongea na ITV amehamasisha Watanzania kuwa na moyo wa kujitolea damu ili kuokoa maisha ya watanzania wenzao.

Pamoja na mchango wa damu Kamanda Masaba amechangia viti 30 vya wagonjwa na mashuka 80

Hongereni CHADEMA Simiyu kwa uzalendo
 
Makamanda hongereni sana na Mungu awabariki kwa kuokoa maisha ya watanzania wenzetu!
 
Wangeacha tu, si siasa imezuiwa????
Roho ya kisasi haitokufikisha popote!hiyo damu walioitoa haina brand ya "chadema,c.c.m,a.c.t au tadea" na haikutolewa kwa ajili ya chadema au c.c.m pekee bali ni kwa wote!
Hata wewe yaweza kukufaa!
Siasa kwenye maisha ya watu si kitu kizuri!
 
Wanachama na makamanda wa Chadema mkoa wa Simiyu leo wamechangia damu katika hospitali ya mkoa wa Simiyu. Wakiongozwa na Mbunge wa Viti maalum Mh.Masaba wamezungumzia kuguswa na upungufu wa akiba ya damu katika hospitali zetu

Mh.Masaba akiongea na ITV amehamasisha Watanzania kuwa na moyo wa kujitolea damu ili kuokoa maisha ya watanzania wenzao.

Pamoja na mchango wa damu Kamanda Masaba amechangia viti 30 vya wagonjwa na mashuka 80

Hongereni Chadema Simiyu kwa uzalendo
Mungu ibariki chadema .
 
Roho ya kisasi haitokufikisha popote!hiyo damu walioitoa haina brand ya "chadema,c.c.m,a.c.t au tadea" na haikutolewa kwa ajili ya chadema au c.c.m pekee bali ni kwa wote!
Hata wewe yaweza kukufaa!
Siasa kwenye maisha ya watu si kitu kizuri!
Mngekuwa na roho hiyo ya upendo basi Ben Saanane tungekuwa naye mtaani.
 
Back
Top Bottom